omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Layman conclusions!! So what? Wewe Katibu Muhtasi wa REDET una nini cha maana zaidi ya kutaka KUWABEBA hao Mabosi wako! Ni mizigo ya moto hiyo! Haibebeki wala haishikiki! Waambie waende Mbeya wakafanye UTAFITI yale mawe yalikuwa na kilo ngapi! Naijua REDET vizuri kuliko wewe Kopitaipisti! Nimeishi hiyo mitaa tangu nikiwa darasa la nne na sasa nina 'mimvi' kibao! Nazijua siasa za UDSM kuliko wewe!
Ukitaka kujenga Hoja siku nyingine kusanya nguvu kwanza sio kukurupuka tu na kuwaambiwa wenzako ni mabingwa wa conclusions! Huu ni mjadala. Kinachotakiwa hapa ni Nguvu za Hoja na si Hoja za Nguvu unazotaka kutultea WEWE mtunza bustani wa Mukandala!
Ukweli ni kuwa ni vigumu kujenga hoja na mtu mwenye upeo wa ki-uchambuzi wa aina yako....
Tanzanianjema