JK sio rais makini

JK sio rais makini

"weka akiba ya maneno" rejea hii kauli ya DEO FILIKUNJOMBE jana aliyoinukuu kwa Thabit kombo, kauli hii ina maana kwamba, kuna mambo yanayomuhusu RAIS hayatasemwa, yamewekwa akiba.
 
watanzania bana, ndo hayuko makini ehee kipi kifanyike??

umeandika kitu ambacho kila mtu anakijua
 
Ndugu wananchi,

Hivi kweli wanataka kutudanganya kuwa Rais wa nchi hakuwa anajua mgao huu wa pesa za ESCROW? Kama itathibitika kuwa hakuwa anajua basi Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ameshindwa kazi yake.
Ninashawishika kuamini kuwa "dili" hili ni la ikulu 100%.
Tutayajua mengi tu. Kama siyo leo basi kesho na wahusika watakula aibu na fedheha yao....
 
jk dhaifu mno. hana uwezo hata kuongoza taasisi ndogo kama shule n.k
 
Sio kweli. Aliijua vilivyo na alihusika kwenye epa. Alijua vzr na alihusika kwenye Richmond(mradi wa mapaacha watatu-lowassa rostam na kikwete). Anaijua vzr na ameshiriki mchezzo wa escrow
 
Mtunda ya demokrasi afrika Ni uzinzi, ulevi, ngoma Na wizi (ufisadi)
 
Ndugu wananchi,

Hivi kweli wanataka kutudanganya kuwa Rais wa nchi hakuwa anajua mgao huu wa pesa za ESCROW? Kama itathibitika kuwa hakuwa anajua basi Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ameshindwa kazi yake.
Ninashawishika kuamini kuwa "dili" hili ni la ikulu 100%.
Tutayajua mengi tu. Kama siyo leo basi kesho na wahusika watakula aibu na fedheha yao....

Mkuu, Mkombzi benki katika akaunti ya Rwega tumeonyeshwa majina na kiasi cha mabilioni ya shilingi mafisadi walichovuna bila kupanda lakini huko Stanbiki kulikochezwa mchezo mkubwa..majina hayakuwekwa kwa sababu maalumu na hapo ndipo kuna ukakasi na kuna kipolo hapa…hapa siwezi kuawapa mzigo kamati ya Zitto sababu PCB ndio kujua kwa nini hayakuwekwa majina na badala yake imetokea acc tu
 
Nitashangaa forever kama Rais hatakuwemo kwenye "dili" hili. Watu hawawezi kuchota mapesa yote hayo kwenye nyumba yako na wewe mwenye nyumba huna habari. Haiwezekani kabisaaaa. Vinginevyo nchi haina system ya intelligence. Huu ni wakati wa kusema ukweli. Ni ajabu wamebakia kung'oa watu meno na makucha wakati nchi inaibiwa namna hii. Hawafai hata kwa dawa. Tunataka viongozi wa CCM wanaozunguka nchi walisemee hili kama kweli chama chao ni safi. Aibu tupu....
 
Mkuu anaijua ESCROW vizuri tu kama vile alivyoijua Richmond. Na sasa watu wataanza kumwamini Lowassa kuwa alivyogeuzwa 'Bangusilo' (mbuzi wa kafara) katika kashfa ya Richmond. Na ndio maana unaona katika kikao chochote kile Lowassa anaponyoosha mkono aseme Mwenyekiti kama JK anaanza 'kushuta mashuzi' maana hajui jamaa ataibuka na kivipi.
 
Tatizo sio JK tatizo ni WaTanzania waliochagua 'Udhaifu' na kuuweka madarakani kishabiki ili hali kulikuwa na kila aina ya ilani na tahadhari juu ya mtu anayeitwa JK. Hivyo wacha tu WaTanzania waendelee kufaidi shubiri (machungu) ya maamuzi yao ya kidhaifu.

Katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki na ya kati mpaka kusini TZA tunajulikana kama taifa kubwa lakini mpaka vitaifa vidogo majirani vinatuona ni 'kubwa jinga' fulani hivi kwani tumekuwa kama saa iliyopoteza majira.
Tumekuwa taifa lisilo na kipau mbele kwa jambo lolote. Hatuna dira wala mtazamo. Taifa zima linalalama wakati wachache wana neemeka kwa kujisevia keki ya taifa watakavyo.
WaTanzania wamekuwa ni watu walioshindwa kujipigania maisha yao. Na ndio maana vitaifa vidogo kama Rwanda vinataka kuipima ubavu, kwani wanaoan ni shamba lisilo na mwenyewe na kuwa lipo lipo tu.
 
Mtu anayependa kukaa vijiweni, kunywa kahawa huko na kucheza bao unadhani kwa uswahili huo aweza kuwa kiongozi bora. Kiongozi dhaifu kupita maelezo, tena sijui kwa mini binge lisimjadili na kupiga kura ya kutokuwa na imani nae. Gordon Brown aling'olewa madarakani...KIKWETE ni mdhaifu kupita maelezo.
 
Udhaifu wake uko wazi kuanzia anapomteua waziri mkuu pamoja na baraza la mawaziri. Yani hajifunzi chochote kutokana na makosa ya huko nyuma? Kule kulikuwa na EPA mara akaingia RICHMOND akang'oka mwenye nywele nyeupe ingawa sio mzee, kisha OPERATION TOKOMEZA UJANGILI wakang'oka watu 3, sasa ESCROW huyo tena ni baba lao. Yani ina maana hakuna hata jambo moja JK alilojifunza kutoka kwenye EPA-----RICHMOND----OPERATION TOKOMEZA na sasa ESCROW? Angekuwa makini angekuwa ameshajifunza jambo ili kuzuia ESCROW. Je; huyu ni rais au ni dalali wa mafisadi?

I need dictatorship ili watu wafundishe uchungu na maslahi ya watu na nch yao
 
ukweli ni kwamba JK yupo strong kiasi ambacho kila anayeharibu anabeba mzigo wake. na kwa sababu mitanzania mmezoea kuiba na hasa nyie mnaojiita wasomi (uchwara) dawa yenu nikuwaacha muumbuke tu kwenye jamii. kama utakumbuka mkapa alilia sana na prof simon mbilinyi baada ya wabunge kumshikia bango. ilifikia kipindi akaanza hata kuwatishia wanaccm wenzake kuwa hatawapitisha kwenye ubunge tena wakati wakuteuliwa.
big up Kikwete for this. hutaki, acha.

Mkuu Abunuas ninakumbuka katika utawala wake Mkapa na kuwalinda viongozi wake alikuwa anawatuhumu baadhi ya wabunge kuwa "wanawivu wa kijinga"
 
Last edited by a moderator:
Hili lilijulikana miaka mingi, hata humu kulikuwa na mjadala mrefu kama alistahili kupewa nafasi ya kugombea tena awamu ya pili. Mjadala ule mrefu ulisababisha John Malecela atoe kauli kwamba MACCM "wana utaratibu wao wa kuachiana Rais aliyeko madarakani amalize awamu zake mbili" Kama 2010 wangemtosa au kama si wizi wa kura nchi yetu ingeyaepuka majanga mengi makubwa yaliyosababishwa na DHAIFU kuendelea kuwemo Ikulu.

Umekunywa chai au unahororoja tu hapa?
 
Udhaifu wake uko wazi kuanzia anapomteua waziri mkuu pamoja na baraza la mawaziri. Yani hajifunzi chochote kutokana na makosa ya huko nyuma? Kule kulikuwa na EPA mara akaingia RICHMOND akang'oka mwenye nywele nyeupe ingawa sio mzee, kisha OPERATION TOKOMEZA UJANGILI wakang'oka watu 3, sasa ESCROW huyo tena ni baba lao. Yani ina maana hakuna hata jambo moja JK alilojifunza kutoka kwenye EPA-----RICHMOND----OPERATION TOKOMEZA na sasa ESCROW? Angekuwa makini angekuwa ameshajifunza jambo ili kuzuia ESCROW. Je; huyu ni rais au ni dalali wa mafisadi?

Sio kwamba BEN watendaji wake walikuwa wachapa kazi
LA HASHA .kinachotokea sasa hivi ni ukuwaji mkubwa wa democrasia uhuru mkubwa tuliopewa katika awamu ya NNE ndio matokeo ya haya ambapo tumefanukiwa walau kuisimamia serikali kwa kiwango cha juu kabisa . Mim kwa mtizamo wangu huu uhuru wa vyombo vya habari ungekuwapo kipindi cha BEN ndio kilikuwa na MADUDU kupindukia . Mfano watendaji waliokuwepo kwenye serikali ya BEN ndo wameendelea KUTUMIKA katika kashfa mbalimbali ikionyesha wazi kabisa hawa watu walikuwa wamekubuh kwa ufisadi mfano YONA , CHENGE na wamelipwa hadi CONSULTATION FEE kwa kuonye jinsi ya kugushi nyaraka na kutoa UZOEF wao namna ya kupiga hiyo hela ya
Mikataba yote hii ya MADIN inayotonyonya tungelifahamu vizuri kama kulikuwa na BUNGE lenye democrasia .RADA , EPA ,MEREMETA ,ma bilion ya USWiS tungeyafaham kwa majina
Kwa hiyo nisema tu BEN sio kwamba alifanya vizuri BALI alisaidiwa na aina ya UTAWALA wake wa Kibabe kuanzia serikalin hadi BUNGENI kwa MSEKWA ambako hoja kama hizi za EPA, MADIN katu zisinge pewa nafasi kujadiliwa BUNGENI
 
Back
Top Bottom