Jk sifa za vyandaraua vs uchotwaji madini tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk sifa za vyandaraua vs uchotwaji madini tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cray, Feb 2, 2011.

 1. c

  cray Senior Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani tumeshuhudia ujio wa Raisi Kutoka huko mkutanoni, ujio uliokuja na vijisifa vyakijingajinga, eti serikali ya sisiem imepewa tuzo kwa TZ kuwa mstari wa mbele katika utokomezaji wa malaria.
  Tunaona jinsi Membe anavyojigamba kuwa serikali imefanya vizuri. Hivi huu ujinga wakubadirishana vyandaraua na madini na mmarekani aliewekeza katika migodi mikubwa TZ (Barrick Gold Mines) kama vile ya Bulyanhulu, North Mara na kadha wa kadha. Hivi ina sound kweli kwa membe na Jk kujidai eti wamepewa tuzo yakijinga namna hiyo? Nilidhani wanadai wamepewa tuzo kwa utawala bora au kwa kuonyesha mfano kwa ukuaji wa pato la taifa, eti tuzo kwa kusambaza vyandarua bure.

  Wanadai kwajitahada hizo wanadai wamekua miongoni mwa nchi za kutafuta suluhu nchini Ivory cost, huyu Kikwete kwake pakoje ? Je huu umoja wa Africa inakuaje wanampa mtu kama JK kumaliza mgogoro Ivory Cost wakati kwake si shwari?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hata Mubarak alikuwa anasifiwa na MAGHARIBI akafanywa mtu muhimu among Arab Community kisa analinda maslahi ya hayo mataifa the same to JK. Ukweli ni kwamba wanainchi walishamchoka wakipata upenyo utajionea kitakavyowaka.
   
Loading...