Jk pesa za rada mmezipeleka wapi mbona hivi loh?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Kaka kunmia kichwa nilioambiwa pesa za rada zinarudishwa
nikasikia msaanii mmoja zinaenda kutengeneza madawati na kulipa madeni ya walimu
je kuna ukweli wowote
jk usanii huuunaisha lini na serikali yetu jamamni
na wahusika wa wizi wa pesa za rada wameishia wapi

napita tu
 
Wenye akili waliposikia pesa ya rada itanunulia vitabu nao wakajifanya waandishi wa vitabu. Huwezi amini eti Yusuf Makamba naye aliandika vitabu vya uraia tena vya kiada kwa shule za msingi/sekondari.
 
akia MUNGU NASIKIA KALAMBA NYINGI TUMWAYA
 
Wenye akili waliposikia pesa ya rada itanunulia vitabu nao wakajifanya waandishi wa vitabu. Huwezi amini eti Yusuf Makamba naye aliandika vitabu vya uraia tena vya kiada kwa shule za msingi/sekondari.
bahati nilipata kukionahicho kitabu, aisee ni kituko kituko kituko, yaani hakuna chochote cha maana eti anakemea rushwa...mlarushwa anatunga kitabu cha kukemea rushwa, kitabu hakina kichwa wala miguu, nchi ya maajabu duniani
 
kaka cha msingi unapumua - hayo mengine utajitia presha bure!! tena kama ukipata ile ya kushuka ni hatari zaidi maana inaweza isikupe hata muda wa kuandika wosia kwa wanao.
 
Kaka kunmia kichwa nilioambiwa pesa za rada zinarudishwa
nikasikia msaanii mmoja zinaenda kutengeneza madawati na kulipa madeni ya walimu
je kuna ukweli wowote
jk usanii huuunaisha lini na serikali yetu jamamni
na wahusika wa wizi wa pesa za rada wameishia wapi

napita tu

Muulize Nyambari Nyangwine na chama chake cha majizi atakuaambia zimeishia wapi ........
 
Hili nalo ni neno........zipo wapi?

SIMBA WA YUDA II

Nimeona Mitanker ya Lake Oil mipya kwa wingi barabarani, pengine Change ya radar imepigwa juu kwa juu kayanunua hayo matanker maana nchi hii wanaotuongoza hawawahurumii watoto wetu kukalia matofari darasani.
 
Wametufanya viziwi kwa ulafi wao ukombozi utarudi wametufanya vipofu kwa akili ukweli autafichika adhabu yao iko mbioni 2015 watajua upofu wetu na uziwi wetu
 
Wenye akili waliposikia pesa ya rada itanunulia vitabu nao wakajifanya waandishi wa vitabu. Huwezi amini eti Yusuf Makamba naye aliandika vitabu vya uraia tena vya kiada kwa shule za msingi/sekondari.

bahati nilipata kukionahicho kitabu, aisee ni kituko kituko kituko, yaani hakuna chochote cha maana eti anakemea rushwa...mlarushwa anatunga kitabu cha kukemea rushwa, kitabu hakina kichwa wala miguu, nchi ya maajabu duniani

Yani mbafu sangu simepata masoesi aisee.
Ningem-CC mwanajf mmoja aione hii thread lakini it will get awkward nikifanya hivo..
BTW, hivi mtu unachungulia kitabu alichoandika Yusufu Makamba ukitafuta nini? loh salaleee
 
Kujua ukubwa wa 'matango pori' ambayo jamaa anawalisha watoto wetu huko mashuleni kupitia hicho kitabu chake.
 
Kaka kunmia kichwa nilioambiwa pesa za rada zinarudishwa
nikasikia msaanii mmoja zinaenda kutengeneza madawati na kulipa madeni ya walimu
je kuna ukweli wowote
jk usanii huuunaisha lini na serikali yetu jamamni
na wahusika wa wizi wa pesa za rada wameishia wapi

napita tu

Ila kweli umenena mi siku nyingi nilikuwa najiuliza sipati jibu
 
Nchi hii ya ajabu sana. Vitabu vya ajabu sana. Pia imefanya maafisa elimu kugeuza vuna vuna time. Zinavutwaje per diem? Kwenda kusambaza vitabu.
 
Kwani siku hizi shule hazipewi pesa za vitabu? Zamani walikuwa wanatoa pesa na orodha ya vitabu ambayo shule inaweza kununua.
 
Yani mbafu sangu simepata masoesi aisee.
Ningem-CC mwanajf mmoja aione hii thread lakini it will get awkward nikifanya hivo..
BTW, hivi mtu unachungulia kitabu alichoandika Yusufu Makamba ukitafuta nini? loh salaleee
wanatafuta jinsi alivyokula mchongo wa radar fasta
mzee niliwambia mnaamcheka ameondoka mamkumbuka kumbe na huku anakumbukwa
 
Kwani siku hizi shule hazipewi pesa za vitabu? Zamani walikuwa wanatoa pesa na orodha ya vitabu ambayo shule inaweza kununua.
Hakuna hiyo kitu ndugu yangu. Vitabu vimeletwa wilayani ndo vinasambazwa mashuleni. Vitabu vyenyewe ni vya publishers tofauti tofauti. Kuna oxford, macmillan, sijui twiga nk. Hivyo issue ya kutumia kitabu kimoja nchi nzima tusahau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom