Jk--- nitachafuka men

Jk--- nitachafuka men

Alivyopiga magoti mm simwelewi huyu jamaa!!......Aaah, Duh Ngoja niache kusema sana.
 
sijajua kama alihusika moja kwa moja au alishtukizwa kama alijua atapanda mti au miti ndivyo tufanyavyo? koleo limeshikwa huku umepiga magoti! kwani unakwamua gari kwenye tope au?
 
kama hakujianda chuka hapo chini lilitoka wapi
 
Mzee Jakaya siyo wa kulaumu. Wasaidizi wake ndiyo wa kulaumu kwani ni matukio mangapi wameonesha kumuandalia vitu kwa kumuogopa, kujipendekeza (Mfano, kipindi anavunja baraza la mawaziri baada ya Mzee Lowasa kujihudhulu, aliwekewa kiti kifupi mpaka akalalamika), sasa na hii inaonekana waliojipendekeza hawakufahamu kuwa yeye ni mtu wa watu kiasi kwamba hata yeye akaona labda atawashusha ari endapo atawaambia toeni,
 
Hizi comparison zingine mnazofanya hazina mantiki kabisa. Ukiangalia vizuri hizo picha za Nyerere utagundua kwamba hayakuwa matukio ya kufungua shughuli fulani bali ni mtu aliyejiandaa kwenda shamba kulima tofauti na Jakaya ambaye anafungua tu tukio na kuendelea na mambo mengine. Ushabiki kama huu unapoendelezwa na watu mnaojiita griti sinkaz, inashangaza sana kwa kweli.
 
kwa jk alishindwa nini kuvaa kulinga na tukio
 
Mzee Jakaya siyo wa kulaumu. Wasaidizi wake ndiyo wa kulaumu kwani ni matukio mangapi wameonesha kumuandalia vitu kwa kumuogopa, kujipendekeza (Mfano, kipindi anavunja baraza la mawaziri baada ya Mzee Lowasa kujihudhulu, aliwekewa kiti kifupi mpaka akalalamika), sasa na hii inaonekana waliojipendekeza hawakufahamu kuwa yeye ni mtu wa watu kiasi kwamba hata yeye akaona labda atawashusha ari endapo atawaambia toeni,

Acha fix kaka
 
Hizi comparison zingine mnazofanya hazina mantiki kabisa. Ukiangalia vizuri hizo picha za Nyerere utagundua kwamba hayakuwa matukio ya kufungua shughuli fulani bali ni mtu aliyejiandaa kwenda shamba kulima tofauti na Jakaya ambaye anafungua tu tukio na kuendelea na mambo mengine. Ushabiki kama huu unapoendelezwa na watu mnaojiita griti sinkaz, inashangaza sana kwa kweli.
Tuletee picha za mkulu akiwa amejiandaa kwenda kulima kama zipo, ili tuweze compare.
 
Back
Top Bottom