Jk--- nitachafuka men

Hizo picha za Nyerere zinatuonesha ni vipi alivyoweka misingi mibovu. Badala ya kuonesha kilimo bora kwa matrekta yeye ana piga jembe la mkono! Khaaaa, wapiiiii?
Kama kuna watu waliolewa makombo ya mezani kwa Mkwerre basi ni wewe pekee. Wakati mwingine nikisoma michango yako humu jf huwa najiuliza ff ni kiumbe wa aina gani. Mimi siamini kama wewe ni binadamu wa kawaida. Kungekuwa na kifaa chenye gauge ya kupina upumbavu wa mtu, basi kingefungwa kichwani kwako kingepasuka. Ama hakika aliyesema kuna baadhi ya watu wanatumia mat..ko kufikiri, hakukosea. Wewe unaweza kuwa mfano mzuri kupita wote.

Hivi ni mtanzania gani kwa sasa anayeweza kumsifia kiwete (sorry kikwete)!!? Kama yupo, basi ni yeye mwenyewe kikwete, mke wake, watoto wake na wewe unayeokota makombo chini ya meza yake. Kila mtanzania sasa anajuta kuongozwa na mtu anayeuza nchi kwa suti iliyonunuliwa Londoni, kuongozwa na mtu ambaye kila kukicha anatega sikio kusikia nchi gani inaandaa mkutano ili nae ahudhurie, kiongozi anayezungumza na wananchi wake kwa njia ya luninga na kuwaeleza jinsi alivyokutana na wanamichezo bora duniani, kiongozi anayeweza kutumia ziara ya kikazi nje ya nchi kwenda kubembea na mke wake, kiongozi anayejisifu jinsi alivyopata heshima ya kugonga kengele ya kuashiria kuanza kwa shughuli za NYSE na kuacha mambo nyeti yanayowasibu wananchi wake, n.k!!!! Kiongozi wa namna hiyo ndiye anayesifiwa na watu wanaotumia masaburi kama wewe mla makombo na usiye na haya hata chembe; wewe ff.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom