JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Hii mbona hesabu rahisi tu, nyie shirikini sensa kwa 100% then baada ya hapo ingieni kwenye misikiti yenu katika kila mtaa kila kijiji kona zote za Tanzania koote kwenye misikiti jihesabuni hakikisheni mnajihesabu wote, then idadi yenu mtakayopata toa na idadi ya watanzania wote then mtajua mko wangapi mchezo umeisha.
 
Serikali kuwa secular haimaanishi kwamba isitake kujua wananchi wake wana dini gani.

Kwa nchi ambayo haina extensive data collection kama Tanzania, nafasi pekee (mara nyingi)tunayopata kukusanya habari ni katika sensa.

Kwa nini tusikusanye sasa?

Tunaogopa nini? Udini?
 
kikwete alisimamia kuingizwa kipengele cha kadhi kwenye ilani nawe unasema si mwakilishi wa dini yoyote?

Huyo simba na bakwata si ndio hao hao waliosema watainyima ccm kura, watasusia sensa - leo wamegeula vipi? Imani huwa inageuka. Askofu akikana imani yake inambidi aenguliwe na mwingine achukue nafasi yake. Sasa mufti leo nataka kesho sitaki.

Vidini vingine bana?

ukristo sio dini,ni kikundi tu, uislamu ndiyo dini,sasa sikushangai ukiita vidini, ila ukristo ni vikundi vingine bana! Tatizo la ukafiri ulio kubuhu ndio huo! Sasa tunataka kugawana nchi! Sensa hiyo ni rasha rasha tu, tanzania tunaigawa sasa waislam kwao na dini yao na makafiri kwao na vikundi vyao. Ulaaniwe
 
Kwa jina la Yesu naivunja laana yako na kuitupilia kuzimu kwa baba yako ibilisi.
vidini vingine bana!
 
Rais Jakaya Kikwete amesisitiza kuwa kipengele cha dini hakitaingizwa kwenye maswali ya Sensa ya Watu na Makazi kwa sababu lengo ni kutaka kufahamu idadi ya Watanzania isaidie katika kupanga mipango ya maendeleo ambayo haipangwi kwa misingi ya dini.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa swali kuhusu dini halijapata kuwepo katika maswali katika sensa zote zilizopita.

“Halipo na halijawahi kuwepo,” alisema.

Alisema hayo jana kwenye mkutano wa wananchi katika eneo la Swaya, nje kidogo ya Mji wa Mbeya wakati akizindua mradi mkubwa wa maji kwa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake.

“Nafahamu kuwepo madai ya baadhi ya watu kutaka swali la watu kuwa na dini gani liingizwe. Swali hili halipo na halikuwahi kuwepo kwa nia njema kabisa,” alisema na kuongeza: “Hatupangi mipango yetu ya maendeleo kwa misingi ya dini au rangi za watu bali kwa kuzingatia maeneo na shughuli, mambo ambayo hunufaisha watu wa dini zote”.

Alifafanua zaidi kwamba siyo kwamba serikali inapuuza dini za watu bali shabaha ya Sensa ni maendeleo ya wote.

Umefafanua vizuri kama ndivyo alivyosema kwa hili amekua makini, I wish angekua namna hii kwenye mambo yote ya msingi na yanayouhusu mstakabali wa taifa.
 
Kwa jina la Yesu naivunja laana yako na kuitupilia kuzimu kwa baba yako ibilisi.
vidini vingine bana!

JINA LA MKUBWA WA KIKUNDI SIO! ULAANIWE NA MWENYEZI MUNGU, AMAYE NI MMOJA TU,HAJA ZAA WALA KUZALIWA NA HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE. WEWE NI:shetani:
 
Pum**fu wte wanaong'ang'ania kigezo cha dini kwny sensa!Mtake mctake, mhesabiwe msihesabiwe MTAHAMA NCHI tena haitowaathiri watawala, zaidi ni vtoto n vtukuu vyetu!Ujinga kabsa, UAMSHO POTEENI ka hamuipend tz!Waislam welev hawana mawazo FINYU hayo, alaaa..
 
Serikali kuwa secular haimaanishi kwamba isitake kujua wananchi wake wana dini gani.

Kwa nchi ambayo haina extensive data collection kama Tanzania, nafasi pekee (mara nyingi)tunayopata kukusanya habari ni katika sensa.

Kwa nini tusikusanye sasa?

Tunaogopa nini? Udini?

Serikali ijue wananchi wake wanadini gani kwa ajili ya nini? Sababu ya Sensa ni maendeleo ya jamii kwa ujumla wake. Kujua dini za wananchi wake ni kwaajili ya nini?? Kujua sio tatizo, ikishajua ichukue hatua gani?

Hakuna swala la kuogopa tunaangalia tija. Hilo la kuogopa limesemwa na wengi wenye mtazamo finyu. Kwa taarifa yako hakuna kinachoogopwa watu wanafanya reasoning na kama linalotakiwa linacost implication na halina tija ni lakupuuza tu. Lets reason out, why for what benefits to the country at what cost.
 
Wadau nimepokea SMS kutoka kwa Jamaa zangu unasomeka hive:-

Yaa"ALLAH"Natamka kwa Ulimi ninakiri kwa moyo kuwa wewe"ALLAH"ukiwa Shahidi,kua sito Shiriki zoezi la SENSA mpaka Kipengele cha "DINI" kiwemo katika "DODOSO"za "SENSA"Sitoshiriki maana huo ndio msimamo wa "WAISLAMU",na kama nitashiriki, Allah unajua nini malipo ya "WANAFIKI"Nlinde nisiwe miongoni mwa WANAFIKI,Amina! TUMA ZAID KWA WAISLAM

huu ujumbe wameliokutumia wa Tanzania au watu kutoka somalia
 
ukristo sio dini,ni kikundi tu, uislamu ndiyo dini,sasa sikushangai ukiita vidini, ila ukristo ni vikundi vingine bana! Tatizo la ukafiri ulio kubuhu ndio huo! Sasa tunataka kugawana nchi! Sensa hiyo ni rasha rasha tu, tanzania tunaigawa sasa waislam kwao na dini yao na makafiri kwao na vikundi vyao. Ulaaniwe

Hali hii uliyonayo wakati unaandika huu upu¤zi wako huwatokea watu wanaoshinda njaa kwa muda mrefu halafu wana break hiyo fast kwa ganja.

We endelea kuamini maruhani haya wakati watu wakijiandaa kwa ufalme wa mbingu.
Vita ya wastaarabu ni ya kiroho na si maneno dhalili wala upanga wala mabomu kama mnavyoaminishwa.
 
ukristo sio dini,ni kikundi tu, uislamu ndiyo dini,sasa sikushangai ukiita vidini, ila ukristo ni vikundi vingine bana! Tatizo la ukafiri ulio kubuhu ndio huo! Sasa tunataka kugawana nchi! Sensa hiyo ni rasha rasha tu, tanzania tunaigawa sasa waislam kwao na dini yao na makafiri kwao na vikundi vyao. Ulaaniwe

usijilipue hapa ni Tanzania sio Iraq
 
Hapo ata Mimi napata wakati mgumu Kwani hata Mimi ni Islam tena safi ila katika hili la kujua waislam na wakristo wako wangapi naona mapichapicha na tamAti Yake ni mbaya Kama ikitekelezeka bora wangesema wanagomea sababu ya ufujaji wa fedha ningewaunga mikono na miguu yote. Nashauri ifanyike sensa ya waislam peke Yao kupitia misikiti ya mitaa na watapata takwimu tena zitakuwa sahihi labda zaidi ya Hii ya serikali

huu uislamu wako umejivisha ili ujibu hoja ila kwa mwenye akili timamu anona kabisa we ni wale waabudu masanamu.
 
ukristo sio dini,ni kikundi tu, uislamu ndiyo dini,sasa sikushangai ukiita vidini, ila ukristo ni vikundi vingine bana! Tatizo la ukafiri ulio kubuhu ndio huo! Sasa tunataka kugawana nchi! Sensa hiyo ni rasha rasha tu, tanzania tunaigawa sasa waislam kwao na dini yao na makafiri kwao na vikundi vyao. Ulaaniwe

Sasa kama Ukristo sio dini, una haja gani kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa? Kumbe dini ni yenu tu, sasa si mjihesabu wenyewe misikitini.

Alaaniwe yeye avuaye nguo mbele ya mtoto wa miaka 9
 
JINA LA MKUBWA WA KIKUNDI SIO! ULAANIWE NA MWENYEZI MUNGU, AMAYE NI MMOJA TU,HAJA ZAA WALA KUZALIWA NA HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE. WEWE NI:shetani:

Hayo maneno umekaririshwa na maalim wa madrassa na huko ndiko akili zenu hufungamanishwa na mapepo. Bwana akiwa upande wetu, hakuna wa kwenda kinyume chetu. Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa, hadi la baba yako shetani.
vidini vingine bana!
 
Serikali ijue wananchi wake wanadini gani kwa ajili ya nini? Sababu ya Sensa ni maendeleo ya jamii kwa ujumla wake. Kujua dini za wananchi wake ni kwaajili ya nini?? Kujua sio tatizo, ikishajua ichukue hatua gani?

Hakuna swala la kuogopa tunaangalia tija. Hilo la kuogopa limesemwa na wengi wenye mtazamo finyu. Kwa taarifa yako hakuna kinachoogopwa watu wanafanya reasoning na kama linalotakiwa linacost implication na halina tija ni lakupuuza tu. Lets reason out, why for what benefits to the country at what cost.

Serikali ya Saudi Arabia inataka kutoa sponsorships za kwenda Hijja kwa wasioweza kulipa, inatoa sponsorship kwa kila nchi kwa mujibu wa idadi ya waislam walio nchi hiyo.

Organizationz za waislam Tanzania hazina data, na kukusanya data nchi nzima kwa sababu hii tu itakuwa mzigo mzito sana.

Lakini kujumuisha hili swali moja tu katika sensa itakuwa kazi rahisi sana, then serikali ya Saudi Arabia ikitaka kupata data hizi inatuma balozi wake anaulizia idara inayohusika ya sensa, wanapata data.

Kuna tatizo gani kuongeza hili swali ili hili jambo lijulikane?

Leo hii mimi naongea na watu wananiuliza "hivi make-up ya Tanzania kidini ni vipi, asilimia ngapi waislkam na asilimia ngapi wakristo". Siwezi kutoa jibu la uhakika. Kama raia nina haki ya kujua jambo hili hata kwa kujua tu (knowledge for the sake of knowledge) kama si kwa tafiti muhimu za sosholojia.

Tumechoka kuangalia ramani za dunia na kuona Tanzania iko katika kundi la "Data Not Available" ilhali sensa tunafanya kila miaka kumi. Usiri wa nini wakati habari tunaweza kuzipata? Usiri ni aina moja ya control. Serikali ikiambiwa inataka watu wasijue habari hizi kwa sababu inataka kuwa control zaidi ya kuwaongoza itabisha?

Kwa hiyo hata ukitoa huo mfano wa Saudi, tukiongelea knowledge for knowledge's sake, hii habari iko central sana katika makeup ya nchi yetu kuwa ignored.

Serikali haina dini, watu wake hawana dini. Serikali kukataa watu wake kujua make up ya dini ni kuwanyima watu wake haki yao ya kimsingi kuijua nchi yao ikoje.

Mimi naona kukataa watu kujua religious makeup ya nchi, under the current context, ni kulikuza swala la dini, kulitoa katika a non issue status kulifanya issue.

Kuna watu wanafurahi sana serikali inavyokataa hivi wanapata msemo. Kuwanyima msemo huu serikali ingekubali tu tuone watafanya nini kwani kukataa kunaweza kuleta mgawanyiko zaidi ya kukubali ikiwa ni pamoja na kulea conspiracy theories zote za kusema "sisi tunaonewa" etc etc .
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE

Hongera Mr. President.

Ni bora kusiwe na sensa kuliko kufanya sensa ambayo itaweka msingi wa malumbano ya kidini yatayoliathiri taifa kwa miaka ijayo.

Tumeona mataifa makubwa, hata Uingereza (North Ireland), ambapo msuguano wa kidini unapunguza ubora wa maisha, na hata kupelekea uhasama usiotibika.
 
Serikali ya Saudi Arabia inataka kutoa sponsorships za kwenda Hijja kwa wasioweza kulipa, inatoa sponsorship kwa kila nchi kwa mujibu wa idadi ya waislam walio nchi hiyo.

Organizationz za waislam Tanzania hazina data, na kukusanya data nchi nzima kwa sababu hii tu itakuwa mzigo mzito sana.

Lakini kujumuisha hili swali moja tu katika sensa itakuwa kazi rahisi sana, then serikali ya Saudi Arabia ikitaka kupata data hizi inatuma balozi wake anaulizia idara inayohusika ya sensa, wanapata data.

Kuna tatizo gani kuongeza hili swali ili hili jambo lijulikane?

Leo hii mimi naongea na watu wananiuliza "hivi make-up ya Tanzania kidini ni vipi, asilimia ngapi waislkam na asilimia ngapi wakristo". Siwezi kutoa jibu la uhakika.

Kwa hiyo hata ukitoa huo mfano wa Saudi, tukiongelea knowledge for knowledge's sake, hii habari iko central sana katika makeup ya nchi yetu kuwa ignored.

Serikali haina dini, watu wake hawana dini. Serikali kukataa watu wake kujua make up ya dini ni kuwanyima watu wake haki yao ya kimsingi kuijua nchi yao ikoje.

Mimi naona kukataa watu kujua religious makeup ya nchi ni kulikuza swala la dini, kulitoa katika a non issue status kulifanya issue.

Ufaransa waliwahi kufanya tafiti ya dini
wakakuta majibu ya kushangaza
mfano mtu anaweza sema yeye ni mkristo but hajawahi kuingia kanisani
au muislam lakini anakula nguruwe na haamini kuna siku ya mwisho yaani kiyama..
mradi kuna mengi mno twapaswa kuyajua..

je Tanzania wakristo wako wangapi?
kati yao walokole wangapi?catholic wangapi?
wanakwenda kanisani wangapi?waliooa au kuolewa na wasio wakristo wangapi?
na kadhalika..

waislamu wangapi?wanaosali swala tano wangapi?
wanaofunga?kunywa pombe? kuoa na kuolewa na wasio waislamu?

wasio na dini wangapi?na kadhalika....

ujinga sana kusema tu tusiulize watu dini zao...
 
Back
Top Bottom