JK ndani ya Kombati

JK ndani ya Kombati

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
ms3.jpg


Rais Jakaya Kikwete akibeba tofali wakati alipotembelea kambi hiyo jana, katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini, Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.

ms4.jpg


Rais Jakaya Kikwete akifyatua tofali kwa mashine…
 
Kuna watu sasa watafungwa speed ya kulidhalilisha kombati sasa na Dr.Dr.Dr. JK nae kapiga
 
unafiki mbaya sana cheki huyo jamaa nyuma mwenye kofia ya baleti anavopiga makofi kinafiki.
 
Ivi huyu bwana akicheka na wengine pia lazima wacheke? mbona mamboo!
 
kweli mdebwedo, maana alivyojikunya ana icho kitofalii mmh!
 
Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?
426847_10150579224861225_33236101224_9389553_405417852_n.jpg
 
Hivi FF yuko wapi huyu MPENZI wangu jamani.

Au hela za HAZINA zimeisha na wao hadi leo hawajapata MSHAHARA kutoka kwa NAPE 🙁
 
hivi huyu anakuwa anachekacheka nini huyu?ana hysteria nini?
 
nadhani viatu na suruali siyo vya kazi hiyo, angemaliza gwanda mpaka chini angependeza zaidi.
 
siku hizi hatandikiwi mkeka kupiga magoti apande mti?kweli criticisms change people...katofali kadogo lakini mkuu anaonekana hoi..kweli ndege zinalemaza

mah ndege zinalemaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom