The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,397
- 12,980
Hongera mheshimiwa JK kwa kuteua wanawake zaidi. Naona wanawake wana unafuu mkubwa kwenye ufisadi.
I hope JK hajateua makada wa CCM na badala yake kateua watu wednye uwezo.
Wanaume Tanzania tumechemsha mno na huenda wakati umefika wa kuwa na rais au waziri mkuu mwanamke.
Mahakama zetu zinahitaji wau competent na siyo Wanawake. Gender has absolutely nothing to do with dispensing justice. ninachokiona katika hili ni kujipendekeza kwa Rais kwa wanawake ili ionekane anawajali. Ukiangalia performance ya Wanawake katika mahakama zetu utaona ni sifuri ukiacha wachache sana. Unajaza tu namba na wale weney uwezo wa kutoa maamuzi unawaacha.
Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!
Tuwape nafasi hao walioteuliwa....kutumia vigezo vya NGO za wanawake kama mfano wa utendaji wa hawa Waheshimiwa wateuliwa majaji itakuwa sio haki. Ya NGO tuwaachie NGO.Really?
Naheshimu sana mchango wa wanawake katika maendeleo ya nchi yetu,ila vitendo vinavyofanywa na vyama mbalimbali vya wanawake nchini vinanipa wasiwasi juu ya hili.
Nadhani umegundua kuwa katika kila chama fulani kuna chama kingine cha wanawake ,mfano: chama cha waandishi wa habari then chama cha waandishi wa habari wanawake, chama cha madaktari then chama cha madaktari wanawake. Fuatilia uendeshwaji wa vyama hivi uone jinsi hali ilivyo.
Basically hakuna tofauti kati ya wanawake na wanaume when it comes to integrity.
Kwenye masuala yanayohusu TAALUMA na UADILIFU wa mtu sidhani kama mambo kama JINSIA, KABILA, DINI au UHUSIANO binafsi vinapaswa kuwa VIGEZO ama SIFA za kufanya uteuliwe!
Rais alifanya kosa hilo la kuwaamini WANAWAKE kwenye Baraza lake la kwanza la Mawaziri akawapa wizara nzito na nyeti kama vile Fedha, Katiba na Sheria, Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mambo ya Nje. Nadhani sote tu mashahidi jinsi wenzetu hawa WALIVYOPWAYA.
ile thread ya dini si ilifungwa? huu udini dini unaanza hivi hivi na mwisho wake ni mbaya, ingekuwa vizuri kusema kuwa hao waliochaguliwa sio competent kuliko kuanza kupoint udini. Tukubaliane na technical know how sio technical know who.
Nia yangu ilikuwa ni kuonyesha kuwa alichotumia JK siyo competence, ni hayo masuala mengine ambayo sasa naogopa kuyatamka maana nitakuwa lebelled sexist au mdini.
Tuwape nafasi hao walioteuliwa....kutumia vigezo vya NGO za wanawake kama mfano wa utendaji wa hawa Waheshimiwa wateuliwa majaji itakuwa sio haki. Ya NGO tuwaachie NGO.
Hongera sana Mh Rais kwa uteuzi huo. Wanawake tusiyumbishwe na ma skeptics tuchape kazi!
tamka tu, here people dare to talk openly, unamaanisha JK anawapendelea waislamu au wakristo?