Jk na wewe chukua upige hata 3

Huyo mwananke ni nani tafadhali. Kavaa flat simple tu, wangekua akina Wolper na Wema Sepetu vitu feki vingekua vya kumwaga.
Huyo binti na huyo dogo mwenye asili ya kiarabu ni wamarekani na wanafunzi wa university, wana miaka 20 tu. Ndio waliogundua huo mpira unaitwa "soccket ball" ambao unatumia "kinetic energy" (kuurusha rusha, kudunda dunda, au kuupiga piga) kuzalisha umeme kwa matumizi madogo madogo kama kuwasha taa na kuchaji sim.
 
kikwete anamambo mengi anafanya kimazoezi, nakumbuka sifa moja wakati wa kugombea alikuwa anafanya mazoezi sana. nafasi yake na kukosa muda wa kutosha inamfanya akose mazoezi kama ya obama.

obama ana
  1. airforce one
  2. marine force1
  3. land force1
barabara zikiwa na jam hawafanyi kama huku kwetu, obama anachukuliwa na helkopta mpaka baharani anasafiri haraka
kadhalika bus(land force) HANA KUPOTEZA MUDA.
 
Ni marine one na ground force one
 
obama-danadana-0.jpg

cheki mkwe.re alivokuwa anashangaa obama akisakata kabumbu
 
Mmmmhh, wa kwetu ni fundi wa kumiliki mademu sio mpira. Na angemuonyesha kama BO angeendelea kuwepo. Chezea M.k.w.e.r.e wewe?

Jakaya Mrisho Kikwete naye ni binadamu kama ulivyo wewe na mimi, hivyo anastahili kuheshimiwa. Pamoja na dhihaka tufanyavyo dhidi yake tuwe na mipaka. Pale Ubungo yeye na Obama wamecheza mpira ule kwa kupigiana pasi nzuri tu. JK alionyesha kuujua mpira. Aliyeweka picha aweke pia picha za JK alipokuwa anacheza pasi na Obama. Taarifa ya habari ya TBC wameonyesha
 
Kwa nini usiweke na wewe uliyeshuhudia?
 
Viongozi wengi wa tz hawana stamina za miguu, wasinge weza kucheza dana dana kama obama,
 
OBAMA ALIPOKUWA AKIONYESHA UFUNDI WA KUMILIKI MPIRA UBUNGO.
Ata za kichwa naweza JK vp wewe unaweza

<tbody>
</tbody>
Moja...2....3...4 wewe

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>

Kwa picha hii, sidhani kama Mkulu anatazama mpira, mimi naona kama macho yako kwa dem.
 
hiyo ni picture tu, lakin Obama hakupiga hata danadana mbili zilimshinda.waliotizama bbc swahili waliona.
 
Back
Top Bottom