Huyo binti na huyo dogo mwenye asili ya kiarabu ni wamarekani na wanafunzi wa university, wana miaka 20 tu. Ndio waliogundua huo mpira unaitwa "soccket ball" ambao unatumia "kinetic energy" (kuurusha rusha, kudunda dunda, au kuupiga piga) kuzalisha umeme kwa matumizi madogo madogo kama kuwasha taa na kuchaji sim.
kikwete anamambo mengi anafanya kimazoezi, nakumbuka sifa moja wakati wa kugombea alikuwa anafanya mazoezi sana. nafasi yake na kukosa muda wa kutosha inamfanya akose mazoezi kama ya obama.
obama ana
airforce one
marine force1
land force1
barabara zikiwa na jam hawafanyi kama huku kwetu, obama anachukuliwa na helkopta mpaka baharani anasafiri haraka
kadhalika bus(land force) HANA KUPOTEZA MUDA.

Jakaya Mrisho Kikwete naye ni binadamu kama ulivyo wewe na mimi, hivyo anastahili kuheshimiwa. Pamoja na dhihaka tufanyavyo dhidi yake tuwe na mipaka. Pale Ubungo yeye na Obama wamecheza mpira ule kwa kupigiana pasi nzuri tu. JK alionyesha kuujua mpira. Aliyeweka picha aweke pia picha za JK alipokuwa anacheza pasi na Obama. Taarifa ya habari ya TBC wameonyesha

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.