JK na Mh.Halima Mdee. Ipe Maneno Picha

Ulienda Loliondo?
asiramkono.jpg
 
yani jinsi makongoro alivyotoa macho mpaka jk anashindwa kumwambia halima shida yake anaishia kumbinya kidole tu
 

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.

JK: Halima unajua kuwa wewe ni mzuri natamani hata ungekuwa spika ili niwe nakualika sana ikulu mara kwa mara.

Mdee:Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! but thanks!

Makongoro: Bro naye ndani ya chama tumemwachia zote zake na nje ya chama pia anataka kutuovertake.
 
Samahani , sija soma hizo reply za watu hapo juu ,ila naomba kuuliza, huyu Halima Mdee ni ana boyfriend? ningependa kujiweka hapo, anaonekana kama hana mahusiano ya kimapenzi haswa ukizingatia hizo pimpoz zake usoni, kama tunavyo jua ukiw ana sex life huwa hazitoki usoni au ni lesboan , maana ile sauti na ule ukakamavu najiuliza mara mbili mbili.
 
samahani , sija soma hizo reply za watu hapo juu ,ila naomba kuuliza, huyu halima mdee ni ana boyfriend? Ningependa kujiweka hapo, anaonekana kama hana mahusiano ya kimapenzi haswa ukizingatia hizo pimpoz zake usoni, kama tunavyo jua ukiw ana sex life huwa hazitoki usoni au ni lesboan , maana ile sauti na ule ukakamavu najiuliza mara mbili mbili.
\

kumbe na wewe ni male????
I thought......
 
Halima hata habend kidogo kwa kinafiki tuuu! Ndo maana makinda alisema hawawaheshimu wakubwa!

nani anataka utumwa? hayo amambo yashapitwa na wakati na mda wa kuonea wanawake umeisha tupige kazi tuache kuhusudu mambo ambayo hayana tija
 
"Uliponikimbia kule mjengoni ulidhani hatukutani?" " Ah! si unajuwa tena naogopa yanayomkuta Zitto"
Mama wewe ni balaa.......!! naomba japo mkono tu. Halafu nyie mbona mnapendwa sana na wapiga kura?
 

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.

jk: alaf we mtoto wee! Yan umembinua james mbatia chali pake kawe sio? Halima: si alitaka mwenyewe?kaweka nkamalizia! Jk: lakni powa tu,unajua nin halima,ukitaka kula lazima uliwe,sasa mbatia alitaka kula bila kuliwa! Haiwezekani! Makongoro: na ilo nalo neno! Jk: sina maana hiyooo!!
 
Back
Top Bottom