masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,176
Kwani ameajiriwa Clouds FM kama nani ?
ameajiriwa kama Djeyyyyy
Kwani ameajiriwa Clouds FM kama nani ?
Irani ya chama
Huyu baba ana mipango endelevuuuu
huyu baba ana mipango endelevuuuu
Yaleyale!!! Watoto wanakaa sakafuni mashuleni, wagonjwa wanalala wawiliwawili kwa kitanda kimoja, miji na vijiji havina maji salama, kisa serikali haina fedha.
Wabunge wanalipwa Tshs 300,000 kwa siku sawa na mshahara wa Mwl kwa mwezi, gym ya wabunge kwa Tshs 2.8 billion,
Fedha ya kuleta wasanii toka nje just for kuserebuka inatoka wapi na ni raia wangapi wa kipato kidogo wananufaika na burudani huku huduma za jamii zikiwa duni?
Miaka kumi iliyopotea bure!!!
10 years a slave of economic instability.
Kwa gharama zao, zake au zetu
Nawe umo,haya Iraqi ya ChamaIrani ya chama
Kwenda misibani watu wanakufa na mabomu lakini yeye afikirii anafikiria mambo ya usanii kweli ccm na rais wao wapo wspo×3