JK kupangua Baraza la Mawaziri........

Pinda kwa kweli anatia aibu sana, yaani PM bure kabisa hasikiki kabisaa, umeme hakuna, foleni kibao na kila kitu.

Huyo kazi anayoijua ni kulia bungeni tu!!!! Hana lolote!!! He is just like a Ceremonial leader!!!!!
 
Dalili ya pinda kuchanganyikiwa ni pale alipoitisha mkutano wa waandishi wa habari kwa kuacha maagizo ofisini eti akija kubenea wasimruhusu. Kweli mtoto wa mkulima choka mbaya. Sasa hii miaka 5 atakimbia magazeti mangapi?
 
Pinda kwa kweli anatia aibu sana, yaani PM bure kabisa hasikiki kabisaa, umeme hakuna, foleni kibao na kila kitu.

Nafasi ya PM ni kubwa kuliko Pinda, jamaa utadhani kama vile hajaanza kazi. Mtu wa kubadilisha kwa sasa ni yeye halafu mwingine ni jamaa wa nishati na madini, ameshindwa. Kwa maoni yangu Pombe ahamishiwe madini na nishati.
 
Pinda ni mtoto wa mkulima mlala hoi, mafisadi wamemfunga mdomo, je wewe unadhani ataongea nini?

Hv mkisema pinda mtt wa mkulima ina maana wakina kikwete,sita, mwakyembe na viongozi wengine baba zao walikua matajiri huko zaman?me naona kumuita huyu bwana mtt wa mkulima ni kujustify weakness zake,huyu hata akiwa mtt wa tajiri hana kauli huyu
 
Hayo yote unajimu, ila moja la maana kuzungumzia kwa sasa. Taifa halina PM kwa sasa, lina crisis manager, tena ambaye hatatui bali anadanganya ili kubuy time. Masuala yote anayoshughulikia yana harufu chafu, tena yenye kuashiria kuwa anasukumiziwa ili yammalize kisiasa. Ebu ona:
-Ameishatumia bilioni 2 kushughulikia uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
-Ametangulizwa mbele ili kupunguza makali ya madai ya katiba kutaka
liundwe jopo la kuweka viraka
-Anatumiwa na CCM kuleta vurugu kwenye Halmashauri nyingi nchini eti kwa
sababu hiyo wizara anaijua sana
-Anatangulizwa mbele kupunguza hasira za watu kusudi Dowans ilipwe
kiulaini
-Migomo vyuoni inaripuka kwa yeye kushindwa kusimamia utoaji wa mikopo
hiyo
-Ameishinikiza Ewura kwa niaba ya mafisadi ili ikubali bei ya umeme kupanda
-Anatumia muda mwingi kusengenya mawaziri wakuu waliopita


HUYU HATUFAI KWA SASA, NA JK ANACHELEWA TU KUFANYA UAMUZI WA BUSARA.

Busara gani? Kumuingiza Lowassa? Nadhani hii ya mabadiliko ni kwamba bado kina Rostam hawaridhiki na baraza la JK na kwamba Sitta katangulizwa ktk hiyo story kuwazuga ili muje kushituka kweli Sitta na Tibaijuka wanapewa Wizara nyeti, lakini Lowassa naye ndani na Membe nje!!! Ndio mutapiga kelele watu wanapeta, si mumesikia ametoa tamko Arusha na kupewa publicity na Mtanzania na Tanzania Daima? Nawaambieni Lowassa bado anaamini ndiye kiongozi bora kuliko wote akiwamo JK na Pinda
 
hayo yote unajimu, ila moja la maana kuzungumzia kwa sasa. Taifa halina pm kwa sasa, lina crisis manager, tena ambaye hatatui bali anadanganya ili kubuy time. Masuala yote anayoshughulikia yana harufu chafu, tena yenye kuashiria kuwa anasukumiziwa ili yammalize kisiasa. Ebu ona:
-ameishatumia bilioni 2 kushughulikia uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
-ametangulizwa mbele ili kupunguza makali ya madai ya katiba kutaka
liundwe jopo la kuweka viraka
-anatumiwa na ccm kuleta vurugu kwenye halmashauri nyingi nchini eti kwa
sababu hiyo wizara anaijua sana
-anatangulizwa mbele kupunguza hasira za watu kusudi dowans ilipwe
kiulaini
-migomo vyuoni inaripuka kwa yeye kushindwa kusimamia utoaji wa mikopo
hiyo
-ameishinikiza ewura kwa niaba ya mafisadi ili ikubali bei ya umeme kupanda
-anatumia muda mwingi kusengenya mawaziri wakuu waliopita


huyu hatufai kwa sasa, na jk anachelewa tu kufanya uamuzi wa busara.

baija bolobi, well said
 
Nafasi ya PM ni kubwa kuliko Pinda, jamaa utadhani kama vile hajaanza kazi. Mtu wa kubadilisha kwa sasa ni yeye halafu mwingine ni jamaa wa nishati na madini, ameshindwa. Kwa maoni yangu Pombe ahamishiwe madini na nishati.
Pombe inamfaa nafasi ya Pinda.
 
Back
Top Bottom