JK kupangua Baraza la Mawaziri........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Gazeti la Mwananchi la leo linatufahamisha ya kuwa utafiti wa jarida moja la Uingereza limebaini ya kuwa JK hana namna ila kulipangua Baraza la Mawziri na kuwapatia Mama Tibaijuka na Mzee Sitta wizara nyeti.................................

Kwa lugha nyingine Mzee wetu Sitta na Mama Anne Tibaijuka watabiriwa mema............hivi karibuni.............................
 
Jarida hilo limechelewa na liko nyuma ya wakati. Wizara walizopewa Sitta na Tibaijuka ni miongoni mwa Wizara nyeti hapa Tanzania na za kuheshimika kama mtu ataamua kufanya kazi kama alivyoanza mama Tibaijuka. Ulaya hawana wizara ya Afrika mashariki na suala la ardhi kwao halina utata lakini huku kwetu bila ardhi wanyonge wangi watakosa haki zao. Wazungu hawajajua kwamba tunahitaji mtu makini sana wa kutetea maslahi ya Tanzania katika muungano wa Afrika Mashariki.....
 
Hivi umetafakari au waandika tu...............Wizara ya Afrika Mashariki kuna nini kule kama siyo kupoteza muda bure................

Na Wizara ya Ardhi ni nyeti lakini huenda afikiriwa Uwaziri Mkuu kazi ambayo Pinda yaelekea imemshinda.......................na zipo Wizara nzito kulikoni ya Ardhi kama Nishati na Madini, Mambo ya Nje n.k..........................
 
Pinda kwa kweli anatia aibu sana, yaani PM bure kabisa hasikiki kabisaa, umeme hakuna, foleni kibao na kila kitu.
 
Pinda ni mtoto wa mkulima mlala hoi, mafisadi wamemfunga mdomo, je wewe unadhani ataongea nini?
 
Gazeti la Mwananchi la leo linatufahamisha ya kuwa utafiti wa jarida moja la Uingereza limebaini ya kuwa JK hana namna ila kulipangua Baraza la Mawziri na kuwapatia Mama Tibaijuka na Mzee Sitta wizara nyeti.................................

Kwa lugha nyingine Mzee wetu Sitta na Mama Anne Tibaijuka watabiriwa mema............hivi karibuni.............................

Magazeti ya nje ya nchi yameanza kubehave kama Sheikh Yahaya?? Mbona habari hii imekaa kiutabiri/kinajimu zaidi??
 
Hivi umetafakari au waandika tu...............Wizara ya Afrika Mashariki kuna nini kule kama siyo kupoteza muda bure................

Na Wizara ya Ardhi ni nyeti lakini huenda afikiriwa Uwaziri Mkuu kazi ambayo Pinda yaelekea imemshinda.......................na zipo Wizara nzito kulikoni ya Ardhi kama Nishati na Madini, Mambo ya Nje n.k..........................

hivi katika umuhimu wa wizara wizara ya mambo ya nje ina umuhimu gani. Taanzani ine investment ngapi nje. Wizara ya mambo ya nje haizidi wizara ya Maliasili wala haizidi wizara ya kilimo Unless unaweka siasa mbele bila kuangalia back bone ya tanzania iko wapi. Ndio maana hata wanasisa wetu hawajui wapi pa kuweka priority.

Marekani, UK Mambo ya nje Ulinzi ni muhimu .ukija UK kitoka waziri mkuu anayemfuata kwa umuhimu ni wa fedha sababu uchumi ni unatagemea uwekezaji financial ivestment

Kama umuhimu ni wa expenditure inawezekana uko sahihi
 
Kwa hakika this is sheer specualation and none sensical at its best. It is too early to ponder changes in the cabinet that is hardly a month old!
 
ni kweli jamaa amekuwa kimya saana, kwenye weakliki kimya kwenye abitration kimya mpaka nikabikiri kwamba labda EL au RA wamemuona.
 
Magazeti ya nje ya nchi yameanza kubehave kama Sheikh Yahaya?? Mbona habari hii imekaa kiutabiri/kinajimu zaidi??
Nasikitika sana kusoma unabii wa sheikh yahya namna hii

Yani habari yenyewe ukiisoma unagundua imejaa chembe za unajimu na ushabiki......... tuna kawaida ya kuona marais wanapoangua baraza la mawaziri kila baada ya muda fulani so that is not new and tuache watu wafanye kazi

na sisi tukomae kujenga nchi, kuweka mambo hadharani na kulaani wanaotuharibia nchi
 
I'm no psychologist but surely misplaced optimism can lead to a state of delusion
 
Hayo yote unajimu, ila moja la maana kuzungumzia kwa sasa. Taifa halina PM kwa sasa, lina crisis manager, tena ambaye hatatui bali anadanganya ili kubuy time. Masuala yote anayoshughulikia yana harufu chafu, tena yenye kuashiria kuwa anasukumiziwa ili yammalize kisiasa. Ebu ona:
-Ameishatumia bilioni 2 kushughulikia uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
-Ametangulizwa mbele ili kupunguza makali ya madai ya katiba kutaka
liundwe jopo la kuweka viraka
-Anatumiwa na CCM kuleta vurugu kwenye Halmashauri nyingi nchini eti kwa
sababu hiyo wizara anaijua sana
-Anatangulizwa mbele kupunguza hasira za watu kusudi Dowans ilipwe
kiulaini
-Migomo vyuoni inaripuka kwa yeye kushindwa kusimamia utoaji wa mikopo
hiyo
-Ameishinikiza Ewura kwa niaba ya mafisadi ili ikubali bei ya umeme kupanda
-Anatumia muda mwingi kusengenya mawaziri wakuu waliopita

HUYU HATUFAI KWA SASA, NA JK ANACHELEWA TU KUFANYA UAMUZI WA BUSARA.
 
Back
Top Bottom