JK kuongea kwenye mazishi ya Mandela

Bwana mdogo hii ni heshima kwa CCM na Tanzania, Serikali ya CCM kwa muda mrefu imekuwa mstari wa mbele kupigania haki,ukombozi na haki za binadamu duniani kote na mwaliko huo ni ushahidi, huku kwenye CCM ukija mija kwa moja utakuwa kwenye urafiki na vyama vinavyounda serikali kwa mfano...CUBA,CHINA AFRICA KUSINI nk..ndio maana hata conservative ya UK ambayo ni rafiki wa CDM walikuwa wanamwogopa Mwalimu Nyerere mara kadhaa Margareth Thatcher alifyata kwa hoja za Tanzania Chini ya CCM

IQ ya mtu huwa inapimwa kwa vitu vidogo sana kama hivi! Kwa hyo comment yako hapo, imedhihirisha uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo! No connectivity ..........
 
Mimi si mndengereko ila kama JK amekaribishwa na kupewa heshima hiyo basi inabidi awe muungwana kuitikia wito....Yeye kaombwa atoe speech sasa unataka afanyaje?kuna nchi ngapi wamepewa hii nafasi?Jirani akikukaribisha usisite kuitikia wito.......onyesha uungwana unapoheshimiwa......sidhani kama yeye kajipangia kuzungumza ila amepewa fursa ya kufanya hivyo
Wandengereko ndivyo walivyo they like show off at any expense, so after he has spoken then what?
 
Rais JK anatarajiwa kuongea kwenye mazishi ya Mandela yatakayofanyika kijiji cha Qunu Afrika Kusini. Ataongea akiziwakilisha nchi zilizo kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa kupigania Uhuru na hasa ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini.

Source; The Citizen

asije tu akaanza mambo ya mandela alisahau viatu vyake dar afu wakaja kumpelekea
 
Am watching channel etv wanaongea na kuifagilia tz namwona dk kikwete akipokelewa kwa heshima zotee
 
Aongee kiswahili? Yani tutumie msiba wa mandela kuitangaza nchi yetu, hakuna hata m1 aliyeguswa na msiba kama msiba?
 
IQ ya mtu huwa inapimwa kwa vitu vidogo sana kama hivi! Kwa hyo comment yako hapo, imedhihirisha uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo! No connectivity ..........
Haya dogo raisi slaa ataenda.....yaonekana IQ yako ni taburalasa manaake niliyoyaongea pengine hukuwa umezaliwa.....haya ndio madhara ya kuangalia TV baa ukinywa viroba unakesha JF angalia unajibu post saa 00.53 usiku, hamlali!ndio maana huwezi kuelewa..........uankurupuka usingizini na kutoa Povu! mburula!!!
 
.Kunavitu havihitaji kuangalia gharama nilazima uvikabili kwa hali yiyote ile. Wp waisrail wamesema wanabana matumizi kwa kutokwenda kumzika mzee madiba?

huna akili wewe!! mpaka nikuambie ukasome wapi? acha uvivu soma mitandao ya kimataifa sio kuangalia chanel ten tuu!
 
Back
Top Bottom