JK Kunguruma Arusha terehe 12 Nov 2011

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa uwanja wa mpira ya Sheikh Karume tarehe 12/11/2011 kufungua kampeni ya Surua ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu aingie awamu ya pili. Hii itakuwa ziara ya kwanza kubwa kufanywa in public na JK baada ya kutoonekana Arusha kutokana na blow waliyopata CCM kwenye uchaguzi mkuu 2010 uliompa ushindi Mh G. Lema(CHADEMA) kuongoza jimbo la Arusha.

Hakuna mtu anayejua kwa nini ziara hii inafanyika wakati mbunge wa Arusha mjini na mwakilishi wa wananchi wa jimbo la Arusha akiendelea kuwa mahabusu. Tunaomba wakazi wa Arusha wajitokeze kwa wingi ili kumshangilia na kumpa mapokezi makubwa rais wetu mpendwa:A S embarassed:

Tunamwomba kwa dhati JK asitume mwakilishi bali aje mwenyewe kwani kwa muda mrefu tume-mmiss mno mno presidee wetu!!!
Hata hivyo haijajulikana kama Lema ataachiwa kwa muda kuja kumpokea Rais then arudi mahabusu au watamwomba m/kiti wa CCM Wilaya au Ole Milya kama mwakilishi wa wananchi kwenye mkutano huo??????????:embarassed2:
 
Si ametaka mwenyewe kuwatembele vijana wake huko jela, alilazimishwa?
 
Mbona poa tu kwa sana.
Najua uwanja utakarabatiwa fasta.
zile pot holes pale nyuma zita tengezwa.
Pande za surrounding area zitapigwa mkao.
Na makorokocho mengine kibao ambayo ni advantage kwetu.

Welcome mr. president.
 
mmh sijui itakuwaje Mungu anyoshe mkono wake tu.......... unacheza na Machalii wa ARA....mpaka vibabu havidanganyiki.
 
Naona anataka kuuliza mgonjwa kafa na ugonjwa gan au alikufaje kufaje kwa wafiwa jibu atakalo pewa asimlaum m2.
Ni bora cku hiyo icwe j5 jmos au j2 kama ni hz cku patakuwa patam sana A-town lzm dam imwagike.
 
jk anakuja?????? Mbona kama tangu apewe kura na wanakijiji hajawahi kufika hapa???? Ama amewadharau wananchi wake. Ngoja tusubirie.
 
Nadhani hii title imekosewa, unaposema ataunguruma ulimaanisha nini? tangu lini jk akaunguruma?
 
oh ok! nani atamkaribisha mgeni?...mwenyeji hayupo nyumbani.
 
Si ametaka mwenyewe kuwatembele vijana wake huko jela, alilazimishwa?

Dada sijui kaka naona wewe una hasira na chuki na fitna sana. wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa hasira chuki ya muda mrefu inaweza kumpunguzia mtu muda wake wa kuishi, wakashauri watu wajifunze kutabasamu na wawe wenye furaha.
Kuna mazingira uliyopata utotoni ambayo pengine yamekusababishia uwe mtu wa hivyo. utafiti mwingine umeonyesha elimu ya madrassa kwa watoto inahusishwa na hasira, chuki na fitna kwa wahitimu wake, sababu hazieleweki lakini kuna nadharia kwamba mafundisho ya madrassa yanamsisitizo wa kuwachukia watu wengine, wanasomeshwa kuwa watu bora duniani kote ni wenye imani kama yao na wanasisitiziwa kutokua na rafiki wa imani tofauti, wanafundishwa kuwa allah amewapa waislam ruksa ya kuwachinja watu wote wasio waislam ili dunia yoooote iwe islam. Wataalamu wanasema nadharia kama hizo zinachangia sana chuki miongoni wa wahitimu wa ilimu hiyo. Pia ile hali ya kujipa haki milki ya kuchinja wanyama imebainika pia kuchangia ukatili na ukosefu wa huruma wala rehema kwa wachinjaji. That being said kwa upande wako nadhani bado hujachelewa sana unaweza kuanza kidokidogo kuuambia moyo wako acha chuki, acha fitna, kuwa na upole, huruma na rehema na hata upendo pia. May the grace and blessing of our Lord manifest within your heart.
 
Leo hii amekuja Makamu wa Rais, kulikuwa mshikemshike wa ulinzi kishenzi. Kuna mahali amepita palikuwa na maua yale yaliyokaushwa yamepambwa mezani, walinzi wake wameagiza yaondolewe haraka sana na kuacha meza plain!
Sasa najaribu kupima siku akija mzee mwenyewe, nadhani wanaintelijensia wote watahamia Arusha kwa siku kadha!
 
hivi anasubutu kwenda arusha?si alikimbiza watoto eti watatekwa na lema?washwahili bana!
 
Kumbukumbu zangu zinanionesha kwamba mara ya mwisho ilikuwa kipindi cha kampeni na alifika saa 12 jioni baada ya kusubiriwa tangu saa 5 asubuhi. Aliishia kumkabidhi kadi ya chama Nakaaya Sumari hapo uwanjani. Na kwakuwa muda ulikuwa umekwisha, alimwacha Batilda ajinadi na mkutano kufungwa. Ni zaidi ya mwaka sasa anarudi arusha baada ya kushindwa vibaya na kuamua hata kuhamisha watoto shule. Arusha ambayo hakuwahi kumaliza miezi mi 5 bila kufika kwenye awamu yake ya kwanza!

Anyway, labda surua ni tatizo sana Arusha ndio maana ameamua kuja kufanyia huku! Karibu tena Arusha.

Angalizo langu ni kwa polisi. Demokrasia ya Arusha imekuwa mno. Asishangae kukutana na mabango ya wananchi wakielezea hisia zao kuhusu hali ya kiuchumi, kijamii, kielimu, kisiasa nk. Nawaomba tu polisi wawaache watu waeleze hisia zao kwa upole na amani ili kuepusha maafa kwa wana wa Arusha na raisi mwenyewe.

Mwisho ningependa kusahihisha thread title. Nadhani hai"reflect" content. Kikwete sio tu hangurumi bali hawezi kufanya hivyo. Na hawezi kabisa kufanya hivyo Arusha. Wala hataweza kufanya hivyo. Sababu ni kwamba hakubaliki huku na chama chake ni chama cha upinzani hapa jijini. Kwahiyo hana hiyo confidence ya kufanya hivyo hapa! Ataishia tu kuzomewa.
Halafu, Ole Millya ni m/kiti wa uvccm. M/kiti wa ccm mkoa ni Ole Nangoro. Nadhani mleta mada atasahihisha.
 
Aende tu atakutana na wana Arusha ambao wameshaujua ukweli.ila najua kuna kitu kimejificha nyuma ya ugonjwa surua
 
Mi nampenda sn jk na ninapenda sn aende Arusha aende akasaidie kuumwagia moto petrol
 
Back
Top Bottom