JK Kunguruma Arusha terehe 12 Nov 2011

Mie sitegemei content yenye maana kutoka kwake Jk,kwani kwa mika 6 madarakani ameonyesha inefficiecy kwa kiwango kikubwa na hata wananchi washamgundua,ila naomba jeshi la polisi litumie akili zaidi kuliko nguvu.
 
Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa uwanja wa mpira ya Sheikh Karume tarehe 12/11/2011 kufungua kampeni ya Surua ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu aingie awamu ya pili. Hii itakuwa ziara ya kwanza kubwa kufanywa in public na JK baada ya kutoonekana Arusha kutokana na blow waliyopata CCM kwenye uchaguzi mkuu 2010 uliompa ushindi Mh G. Lema(CHADEMA) kuongoza jimbo la Arusha.

Hakuna mtu anayejua kwa nini ziara hii inafanyika wakati mbunge wa Arusha mjini na mwakilishi wa wananchi wa jimbo la Arusha akiendelea kuwa mahabusu. Tunaomba wakazi wa Arusha wajitokeze kwa wingi ili kumshangilia na kumpa mapokezi makubwa rais wetu mpendwa:A S embarassed:

Tunamwomba kwa dhati JK asitume mwakilishi bali aje mwenyewe kwani kwa muda mrefu tume-mmiss mno mno presidee wetu!!!
Hata hivyo haijajulikana kama Lema ataachiwa kwa muda kuja kumpokea Rais then arudi mahabusu au watamwomba m/kiti wa CCM Wilaya au Ole Milya kama mwakilishi wa wananchi kwenye mkutano huo??????????:embarassed2:


Mkuu wana arusha wameitwa panya na kibalaka wake mimi si musemaji wa wanannchi wa arusha nahuyo mb kabambikiziwa kesi au ndousemi wa paka akitoka panya anatawala jk atapokelewa na nani?
 
Back
Top Bottom