JK kukiri hali ya fedha serikalini ni mbaya

...Nchi ina utajiri wa kutisha...Dhahabu, Almasi, Tanzanet, misitu ardhi yenye rutuba ya hali ya juu lakini wanaofaidika ni wageni na mafisadi walio Serikalini na marafiki zao huku nchi ikishindwa kuwa na pesa hata za kujiendesha. Majirani zetu Botswana dhahabu yao wanagawana pasu kwa pasu na wawekezaji (50%) sie tunawaachia wachukuaji wachukue 97% ya mapato yote yanayotokana na dhahabu yetu ikiwafaidisha shareholders wao na wale walio katika managament positions za makampuni ya wachukuaji huku nchi ikikosa hata pesa za kulipa mishahara kwa Wafanyakazi wake!!!!
 
ikulu imekuwa kama stoo ya nje...hakuna kitu pale sasa hivi....
 
Yaani mambo bado kuwa magumu zaidi ya hapo subirini kidogo mtaona wengine wakikitoa wenyewe tu. Hela nyingi zilitumbuliwa kwenye uchaguzi kutoka kwenye vyanzo mbalimbali serikalini na sasa wahisani nao wametia ngumu ile mbaya bado tu kutangazwa.
 
Yaani mambo bado kuwa magumu zaidi ya hapo subirini kidogo mtaona wengine wakikitoa wenyewe tu. Hela nyingi zilitumbuliwa kwenye uchaguzi kutoka kwenye vyanzo mbalimbali serikalini na sasa wahisani nao wametia ngumu ile mbaya bado tu kutangazwa.


kabla hawajakitoa wakamateni ninyi wananchi.......
 
tokeni behewa la mwisho....nendeni mpaka kwenye kichwa cha treni mtoeni dreva hapo kwenye kiti...mbona kuna dreva mzuri tu anaweeza kuliendesha gari moshi hili kwa ustadi mkubwa!!?!! muwekeni huyo aendeshe na mtafika salama ...achaneni na hawa wezi na waongo wakubwa......
 
nilishawahi kusema...huyo rais hana tofaiti na mti wa ashok.....ule mti haufai kwa kivuli...haufai kwa kujengea.....haufai kwa kuchanwa mbao...haufai kwa kupikia kama kuni....haufai hata kuwa mkongojo wa babu...zaid sana ule miti hutumika kama mapango na makazi ya wale nyoka wa KIJANI!!!.........
 
Sasa anatuambia ili tufanye nini,serikali yake ni ya kulaumiwa moja kwa moja katika hili.Watanzania wazalendo tulisema kwamba serikali ilikokuwa inakwenda ilikuwa siko,igeuke lakini hatukusikilizwa.Matumizi mabaya ya fedha za uma,ikiwa ni pamoja na wizi wa wazi wa rasilimali za taifa,kutoa rasilimali za nchi kwa bei ya kutupa,misamaha ya kodi kwa njia za rushwa,kushindwa kuwa wabunifu katika ukusanyaji wa kodi,nk,nk.haya yote ndio yametufikisha hapa tulipo.FEDHA SASA ZIKO KWENYE MIFUKO YA WATEULE WACHACHE.Je akina Kikwete, tuwaache hivi hivi hata baada ya kufilisi taifa letu,no lazima tutawashughulikia,hatukubali.Nchi yetu ni tajiri mno,hatukupashwa kufika hapa.Kikwete ajiuzulu tupate mtu mwingine ambaye ataweka mikakati mizuri ya ku-manage uchumi wa nchi yetu.Ameshindwa.Muda uliobaki ni mwingi mno,tukiendelea naye atatupeleka makaburini.
 
unatumia nini kufikiri wewe, kama akina Obama nao wanalalamika kuwa hali za nchi zao kiuchumi ni mbaya sembuse kanchi ketu kachanga

We Makupa ndo unafikiria kwa kutumia Kitundu cha katikati ya masaburi yako kupembua hoja..! Unathubutu kulinganisha Amerika na Tz kiuchumi, Tuseme ukweli huyu Mk'were anatuzingua tu, hamna kitu anafanya takwimu nyingi zathibitisha hili
 
unatumia nini kufikiri wewe, kama akina Obama nao wanalalamika kuwa hali za nchi zao kiuchumi ni mbaya sembuse kanchi ketu kachanga

Nani alikwambia nchi changa lazima iwe na matatizo ya kiuchumi? Tutakua baada ya miaka mingapi?
Ulipotokea mtikisiko wa kiuchumi duniani mlisema hamtatikisa. Huo upepo wa kuwatikisa umetoka wapi?
 

mtu anaeshindwa kulinda kura anaweza kweli kulinda rasilimali zetu?
 
sitaki kuchanganywa na wala sidanganyiki. Hivi bajeti ya mwaka huu haikuwa na pesa ya kulipa madeni? Ni madeni yapi ya nyuma ambayo hayakuwepo kwenye bajeti lakini sasa yanalipwa hata hivyo? TRAInasemekana imekusanya zaidi ya matarajio kwa maana ya asilimia 102 ni nini basi kinasababisha makusanyo yawe mengi zaidi ya makadirio ya matumizi na hata hivyo shughuli za maendeleo zilizopangiwa hayo makusanyo zisiyapate?
Nchi ya usanii mtupu hii!!
.
 
Tuambie ww kuhusu raisi wako na mipa
ngo ya nchi yako au ww wa italy mwenzetu
pesa nyingi wanazitumia kutafuta watu waliowatangaza wao kuwa wamekufa.......ni lazima nchi iishiwe pesa..watanzania amkeni..muondoeni huyo ni mzigo kwa taifa lenu
 
Tatizo anakuwa wa mwisho kuelewa kila jambo. Waliambiwa wakabisha, ngoja tuone mwisho.
 

Wakati anaapishwa mwaka 2005 nakumbuka neno moja kubwa alilosema (NIMEHEMEWA) alikuwa anajua maana yake??
 
wewe mwenyewe hapo matonya namba moja.utatueza nini mpya.acha wenye akili timamu na wenye mapenzi na nchi yetu wawahudumie walalamikaji kama wewe.

unategemea nini kama nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali kuendelea kuwa omba omba?
 

Pia akina obama kulalamika siyo sababu ya sisi kuzidi kuwa omba omba. Hapa bila unafiki Jk siyo uongozi wake legelege ndo unasababisha yote haya, wakati ni sasa kuwa mstarabu na kuonyesha uzalendo wa kujiuzulu atuachie nchi yetu wenyekuweza watuongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…