de'levis
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,222
- 1,583
ndo kwanza february.....hata nusu mwaka bado taifa halina pesa...rais anakiri hakuna pesa.....madaktari wamegoma, maana yake ni kwmaba watu wengi wanakufa sasa hivi huko...nguvu kazi ya taifa inazidi kupotea....halafu mnawaacha hawa watu madarakani..kwa nini lakini?!!!..........