Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete yupo nchini Rwanda leo kuhudhuria sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa nchi hiyo!
Kwamjibu wa mtandao wa twita wa serikali ya nchi hiyo wa RwandaGov unaoripoti live shuguli nzima ya sherehe hizo, umemuonyesha rais wa Tanzania akiwa na viongozi wengine katika meza kuu ndani ya uwanja wa Amahoro!
Mgomo upo, na utaendelea kuwapo, rais yupo na rais yupo na ataendelea kuwepo!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Madaktari, Mungu mponye Daktari Ulimboka!
Huyu jamaa atakuwa ana hali ambayo sio ya kawaida kwenye ubongo wake.Ila uswahili ukizidi sana ni matatizo ,tena ni janga.