JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

Ningeshangaa kama asingeenda!kwani siku au week alikuwa ajaondoka nje ya Tanzania na yeye hakuzoea
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?

Kama hana cha kufanya si kuzurura tu na kusubiri mialiko... unategemea mkwe-re afanye nini??
 
Wakati Rais wetu yupo ziarani athari za kufukuza madaktari zimeanza kujitokeza. Hospitali ya Rufaa Mbeya inaomba Madaktari kutoka serikalini kukabiliana na idadi ya wagonjwa! SHAME!!!!!!!
 
Back
Top Bottom