JK kaacha kishindo Dar?

Mwiba,
kwa uliyoandika hapo juu, umedhihirishia umma ya kuwa wewe ni sawa na gadafi.
 



KWA HAPO ATAKUWA AMEMSAIDIA SANA, Mhe. Masha kwani nilikutana naye pale airport amechoka na kuwa mtu wa kawaida kabisa, hata kupitia kwa watu maarufu kulikuwa kumekwisha tulikuwa naye kwenye joto tukisubiri mizigo pamoja, nusu niulize kwa sauti WEWE SIYO MHE. MASHA, lakini niliweza kujiuzia, na alikuwa anaongea kama chiriku huku akilaumu hali ya uwanja,,,,,,,,,,haha ahah ahaha siasa kweli si hasa.
 
Tumeenda hadi pg ya 7 kwa speculations tu. Duh!


kama kawaida...niko home nakunywa kahawa..window moja nasikiliza mahojiano ya mwanakijiji na Mh.Rais Dr w.Slaa

na window nyingine niko kwenye hii pagenafatilia tetesi hizi..
 
Tegua kitendawili mkuu, watu tunaifuatilia hii thread toka alfajiri lakini hatuelewi lolote.
 
kama kawaida...niko home nakunywa kahawa..window moja nasikiliza mahojiano ya mwanakijiji na Mh.Rais Dr w.Slaa

na window nyingine niko kwenye hii pagenafatilia tetesi hizi..

Tupopamoja Mkuu!! Keep the Vigil; hatoki mtu mpaka kieleweka.....mfano wa Tahir Square!!
There are currently 138 users browsing this thread. (43 members and 95 guests)

 
Jf ina vimbwanga!hebu wekeni hiyo mnayohisi ni tetesi au kishindo.ili wenye uwezo wa ku-comfirm tufanye hivyo!otherwise hii ni cra...
 

Baada ya kukosa ubunge ndio anajua hali ya uwanja ni ndovu eh!!!!!!???
 

This is the long wait...... Kwanini usitoe kama tetesi tu baadaye uka-confirm???
 
Kamati ya nishati na madini yapendekeza pamoja na mengine mitambo ya dowans itumike.?!
 
Mpaka sasa hakuna kinachoeleweka.....
 
tuache ushabiki, Masha hajachoka na hi law firm has started to show a positive curve since he went back... jamani pamoja na kwamba tunaweza kuchukia mtu, basi tuwe careful kuropoka
 
khaaa me mwenyewe nimeshangaaa mana...................huyu bwana(msanii) sikutegemea ka angefanya haya yote
 

Mkuu

Af nyie ndo mnaowafanya hawa watu waibe kwa kuhofia kuchekwa KACHOKA
 
Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi

Please a self explanatory information!
this is a Great thinkers' forum!
thinkers does not have partial information nor do they gossip!!!
please improve my friend!! I care and respect you thats why am saying this!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…