Kwa vile mwanzisha thread hii hataki kuweka wazi ni kishindo gani,basi mimi naweza ku-predict kishindo alichoacha Kiwete. Ni kwamba baada ya hutuba yake iliyoonyesha hofu kubwa kwa Chama Makini chenye watu waliokwenda shule. NAWEZA KUBASHIRI KATI YA MAMBO 2 ALIYOAACHA:
KWAMBA ATAKUWA AMEAGIZA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA WAKAMATWE WAWEKWE NDANI KWA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KUIONDOA SERIKALI YA CCM ILIYOKO MADARAKANI.
KUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUWA SERIKALI IMEFULIA(HAINA PESA)MPAKA LEO 2/03/2011 KUNA WATUMISHI HAWAJAPATA MISHAHARA YA FEBRUARI HALI NI TETE JESHINI,POLISI NA KWENYE TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI.
Sidhani kama kunaweza kuwa na kishindo zaidi ya hi ninavyodhani kuachwa na JK.
nilikua najiuliza ni kishindo gani,maaana ameacha amewaapisha makatibu wa kuu ye akaishia.
ila kwa haya maandamano ya amani yanayoendelea nadhani ndio kishindo.
tusubiri tu jamani... na sisi tuna beep vile vile.. ila kwa wale ambao tunafahamu mazingaombwe tunajua wakati mwingine hata kitu kikibadilishwa mbele ya macho yako haina maana ni kweli kimebadilika kwani mazingaombwe ni sanaa ya kudanganya macho.