JK hana kishindo chochote; ni mkwara tu.
Wakati wa marehemu Amina (AC), JK alisikika kuwa ataangusha kishindo kwa wauza unga, lakini wapi. Hadi leo hakuna lolote.
Wakati aliponyimwa hela na wafadhili kwa ajili ya rushwa, aliahidi kuwa masifadi sasa wataipata. Akaunda TAKUKURU badala ya TAKURU na sheria mpya za kuwashughulikia; tangu hilo takola mkulu lianze, hatujaona lolote. Mafisadi wanayeya tu
JK hawezi kufanya lolote
JK ni kilaza asiyejua wajibu wa majukumu yake.
JK ni mtafuta sifa na ni mbinafsi sana. Kwake yeye urais wa nchi ni mradi wa ukoo wake wala haangalii maslahi ya nchi.
Hakuna cha kishindo wala cha nini kutoka kwa JK.
Nimesema!!!!!!
@#$@#$$%^&#^%%(*(&Y&*$&^*!!!!