JK: Hatutaki Rais mzee 2015

JK: Hatutaki Rais mzee 2015

[COLOR=#ff0000 said:
Ben[/COLOR];3407838]You're quite entertaining . We know the type, defeat them in an argument and they get foul mouthed, begin throwing stones, burning, looting and killing......Au Lugha ndiyo tatizo mkuu! Hadi unajua marital status za watu? Intellectual dwarf!





So the issue is no longer about constitution,it's all about revolutionize the whole system right?

this name is quite unfamiliar as far as chadema politics is concerned,can you please remind me who are you?you guys are busy chewing each other out,washing your dirty laundry in public yet calling yourself chadema leaders!!!kila post yako unampigia debe zitto kiasi kwamba nahisi hata yeye mwenyewe anakasirika na hii tabia yako ya kujipendekeza,..is that why you calling people haters?if you are truly chadema leaders like you say you are stop bitching up on the internet and settle your issues in internal meetings!!!ps..you talk too much,if you really have a dream to climbing to the higher positions,learn to speak a little and listen more.
 
These matters remains in doubt. We have to understand that JK, opinion his for who can contest for the presidency,
must to start from the age 35 and on. For what he has says is not an offence, he has rights to bring out his opinion same like other Tanzanians. But in this case did't concerned other political partys, it was a massive attack within his rival inside is Ccm party, for the other way round you can say vindictive within his rival.
Matter of the age for who can contest for Presidency, is very easy to solve it, is only in the new constitution,
everyone must to share his idea and to make the new constituition to become superior, Has the way we share our
opinion it shows that many people are more bright and brains capable of functioning, that's mean the exchanging of opinion is very high. I respect you all, with expectation we can make a new constitution in time.
 
this name is quite unfamiliar as far as chadema politics is concerned,can you please remind me who are you?you guys are busy chewing each other out,washing your dirty laundry in public yet calling yourself chadema leaders!!!kila post yako unampigia debe zitto kiasi kwamba nahisi hata yeye mwenyewe anakasirika na hii tabia yako ya kujipendekeza,..is that why you calling people haters?if you are truly chadema leaders like you say you are stop bitching up on the internet and settle your issues in internal meetings!!!ps..you talk too much,if you really have a dream to climbing to the higher positions,learn to speak a little and listen more.

labda jamaa anatoka kigoma
 
Haya haya JF kumewiva...
nadhani tusianze kulalama wakati mipango ya JK inahusiana na CCM pamoja na kambi yake ndani ya CCM hivyo anachokisema yeye ni ndani ya chama na sio maamuzi ya wananchi wapiga kura. Kama yeye anafikiria ni wakati wa vijana na anazo sifa za kutosha kwa kijana anayemlenga wapiga kura watatoa maamuzi yao.

Binafsi yangu naamini kabisa kwamba Hekima na Busara huja kwa Umri kama barehe, na wapo waliojaliwa vipaji hivi wakakomaa kisiasa mapema zaidi ya wengine. Kiongozi yeyote anayefikiria kwamba tofauti za vyama hazina maana basi yeye sii mwanasiasa kwa sababu SIASA ndio humjenga mtu na siasa ni chama. Kama una fikra zako tofauti na mtazamo wa chama as independent bora zaidi ujitambulishe na fikra hizo kuliko kuwa mbwamwitu aliyevaa ngozi ya kondoo maana huwezi kuendelea kula nyasi ili hali nafsi yako inakupa hakuna haramu kula nyama.

Ningewashauri vijana wetu hawa kina Zitto na Makamba, kama wanaona wako ktk vyama ambavyo havina malengo ya kuwakomboa vijana na wao wanataka kupigania haki za vijana basi hakuna tatizo kuanzisha chama chao ambacho watashiriki kikamilifu kupigania haki hizo kwa sababu nachokisoma hapa ni utengano mtupu. Hii vita ya Vijana vs Wazee na wakasahau kwamba Tatizo la ajira na umaskini nchini ni la Kitaifa na kulingana na itifaki zetu mzazi iwe mzee kiasi gani yeye ndiye refa na mwenye mamlaka makubwa ktk jamii yetu. Ikumbukwe tu kwamba marais waliotangulia walitoka CCM na sii swala la uzee wala ujana bali viongozi wenye sifa ya kuongoza ndio walichaguliwa japokuwa haikuwa hivyo.

Hatuwezi kuyataka mapinduzi ya kijamii kupitia umri, hapa tutakuwa tunaanza vita nyingine baina yetu japokuwa kweli wazee wetu hawapendi kuachia madaraka kutokana na hofu FEAR ya kufa maskini. je, vijana wanayo haki ya kugombea Urais?... bila shaka haya maswala ya WAZEE kupangia watu umri unaotakiwa kugombea urais ni moja ya mbinu chafu yab kisiasa ambayo inaonyesha kinga ya wazee, ili wao wapate kula nyama za paja, maini na virigisi.
 
Rais anapotoa maoni yake afikirie mara mbili, is a shame kuwa challenged kwa kitu kidogo kama hiki. Ametumia kigezo gani kusema tunataka rais Kijana. Analeta ubaguzi wa vijana na wazee. Rais ni mtu yeyote mwenye uwezo na tutakaye muona anafaa hatuangalii mzee au kijana. Swala la umri wa kuanzia kumpata rais ni utaratibu tu wenzetu walikaa waliona hilo wakaamua hawakukurupuka tu. ukisema 35wengine watasema 25 utatumia kigezo gani kupata umri sahihi? Naona 40 ni sahihi mtu anakuwa amepitia challenges nyingi zikiwemo za kazini na familia. Kama wewe ni mzuri si usubiri shida iko wapi? Kwani miaka 40 ni mzee?

Ninaomba nikukosoe ndugu yangu,walikaa 1980s wakaona 40yrs inawafaa kwa wakati wao na sisi tunayo haki ya kukaa na kupima iwapo 40yrs inatufaa au iongezwe/kupunguzwa.Zitto na January wametoa maoni yao kama watanzania wengine ktk mchakato wa katiba mpya.
 
this name is quite unfamiliar as far as chadema politics is concerned,can you please remind me who are you?you guys are busy chewing each other out,washing your dirty laundry in public yet calling yourself chadema leaders!!!kila post yako unampigia debe zitto kiasi kwamba nahisi hata yeye mwenyewe anakasirika na hii tabia yako ya kujipendekeza,..is that why you calling people haters?if you are truly chadema leaders like you say you are stop bitching up on the internet and settle your issues in internal meetings!!!ps..you talk too much,if you really have a dream to climbing to the higher positions,learn to speak a little and listen more.

Some recent thinkers seem to have given their moral support to these deplorable verdicts by affirming that an individual's intelligence/wisdom is a fixed quantity, a quantity that cannot be increased. We must protest and react against this brutal pessimism; we must try to demonstrate that it is founded on nothing

Wengine hatuna tabia za kujipendekeza kama baadhi yenu mkuu.Na pia wengine hatuburuzwi kama mlivyo baadhi yenu,wengine hatutegemei group thinking kama wengine walivyo.Wengine hatuogope kutengeneza maadui,hatujali juu ya kuongeza au kupunguza marafiki.Tunajali Truth,the truth that will set us free.Principles and radical stance on the tenets of Democracy and not otherwise !

And before anyone thinks of writing nonsense to my response, you better think twice and keep stepping. Did not comment on yours so do not comment on mine! Thank you! This is not a private chat session please..just face the topic!!

Iam out for today!
 
2015 atasema sasa ni zamu ya Wazanzibar urais!! JK ana hoja mfu.
 
Hii kauli ina siri nzito nyuma ya pazia. Kauli ya JK si ya UMMA.
 
WAKATI makundi ya urais yakijipanga kuwania kiti hicho mwaka 2015, bila kuyajali, Rais Jakaya Kikwete amesema wanaota urais wakiwa na umri kama wake, wasahau, Tanzania Daima Jumatano limedokezwa.

Kikwete alitoa kauli hiyo wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichokutana juzi, pamoja na mambo mengine, kupitisha jina la mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho zilisema kuwa Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua kikao hicho.

Kwa mujibu wa habari hizo, Rais Kikwete alisema kuwa kinachotokea Arumeru Mashariki ni makundi yanayotaka urais na kusisitiza kuwa kama kuna mtu mwenye umri kama wake na anataka urais mwaka 2015, asahau kupata kiti hicho.

Alisisitiza kuwa wanaotajwa kutaka urais wakiwa na umri kama wake na hata kuzidi, huu si wakati wao bali wa vijana.

Mtoa habari wetu kutoka ndani ya kikao hicho, alisema kauli hiyo ya Rais Kikwete iliwanyong’onyeza baadhi ya makada wanaotajwa kutaka nafasi hiyo wakiwa tayari na umri mkubwa.

Katika hatua nyingine, Mbunge wa Bombuli, Januari Makamba (CCM), amependekeza kuwa umri wa kugombea urais, ushushwe kutoka miaka 40 ya sasa hadi 35.

Ushauri huo uliungwa mkono pia na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye alihoji kuwa kama Uganda wameweza kwa nini Tanzania mabadiliko hayo hayawezekani.

Makamba alitoa kauli hiyo jana katika kongamano la Femina HIP la vijana walio nje ya shule, lilioandaliwa na Jukwaa la Femina, huku likiwa limebeba mada kuu ya ushiriki wa vijana katika uundwaji wa Katiba mpya na kufanyika katika Ukumbi wa British Council, jijini Dar es Salaam.

Wabunge hao wawili pia walitaka umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura uwe miaka 16 badala ya 18 kama ilivyo sasa.

Akifafanua pendekezo hilo, Makamba alisema Tanzania inapaswa kuiga mfano wa nchi jirani kama Uganda, Burundi na Rwanda ambao tayari wanafuata mfumo huo.

Alisema asilimia kubwa ya wananchi wa taifa hili ni vijana hivyo haoni ni kwa nini hawapewi fursa kugombea nafasi hiyo kwa kisingizio cha umri.

Kuhusu kupiga kura, mbunge huyo alisema anaamini kwamba umri wa miaka 16 alionao kijana wa karne hii ana uwezo wa kuchambua mambo na kumchagua kiongozi anayeona anafaa.

Kwa upande wake Zitto alisema hata yeye anaunga mkono hoja hiyo na kudai kwamba linawezekana kabisa huku akitolea mfano kwamba kipindi cha nyuma wanawake walikuwa hawashiriki katika kupiga kura.

Kama vile haitoshi alisema miaka ya kupiga kura ilikuwa ni kuanzia 21 lakini kadri muda ulivyozidi kwenda na kuonekana kwamba kuna haja ya sheria hiyo kufanyiwa marekebisho, ndipo ikafika miaka 18 hivyo ni wakati sasa muafaka kwa vijana kudai haki hiyo ya kupiga kura wakiwa na miaka 16.

Hata hivyo Zitto aliwataka vijana katika mchakato huu wa Katiba kutokubali mjadala huo utawaliwe na wanasiasa kwa kuwa wengi wanajadili kwa maslahi yao.

Kwa mujibu wa Zitto tayari ameshaona wanasiasa hao wameanza kuutumia mjadala huo kwa manufaa yao huku wakilenga katika kugawana madaraka na kuacha kujadili mambo muhimu kama ajira kwa vijana na namna gani wataweza kulipwa kutokana na kazi wanazozifanya.

Pia mbunge huyo aliwaonya vijana wasije wakafikiri Katiba mpya ndiyo itakuwa suluhu ya matatizo yanayowakabili na badala yake kuwataka wafanye kazi kwa bidii.

“Msidhani kwamba eti Katiba mpya ikiwepo ndipo matatizo ya ajira yatakwisha au uibwaji wa rasilimali za nchi utaisha la hasha kwani matatizo haya yanaweza kuendelea kuwepo; kinachotakiwa ni kuchapa kazi na kujenga hoja pale mambo wanapoyaona yanaenda sivyo,” alisema.

Hata hivyo wabunge hao walipoulizwa swali na mmoja wa washiriki wa kongamano hilo, Humphrey Polepole, kama wangependa kuwa kwenye Bunge Maalum la Katiba, walisema ndiyo kwa madai kwamba wanaamini watakuwa na mchango mkubwa kuwepo kwao katika tume hiyo.

Kwa pamoja wabunge hao walisema kwamba wanataka kuonyesha siasa za tofauti katika kuondoa matatizo ya vijana na wananchi kwa jumla bila kujali vyama wanavyotoka.

Katika kongamano hilo la siku mbili ambapo mgeni rasmi alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, linalenga kupata maoni ya vijana wa Tanzania kuhusu Katiba mpya kwani takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ina watu milioni 44 na kati ya hao asilimia 65 ni watu walio chini ya umri wa miaka 25.

Source: Tanzania Daima. 29/Feb/2012


[TD="bgcolor: #ffffff"]
JK: Hatutaki Rais mzee 2015

Na Nasra Abdallah


[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"]
amka2.gif

[/TD]



Rais wa 2015 atatoka Chadema naye ni Dk. Wilbroad Slaa, msomi wa kweli sio kama yeye Kikwete anayepewa shahada za heshima kila siku, apumzike atuachie cdm tulete maendeleo. Hatujali CCM wataweka mzee au kijana
 
Katiba itapoteza umaana wake ikiwa itaweka vipengele ili kutimiza matakwa ya mtu au kikundi cha watu...katiba pia itapoteza maana ikiwa itaweka vipengele vinavyonyima mtu au group fulani ya watu haki kupata au kutumia haki yao ya msingi..heri mzee mwenye uadilifu kuliko kijana fisadi na pia heri kijana mwenye hekima kuliko mzee mpumbavu
This thing is constitutional so wananchi waamue sio kuzungumzia kwenye femina HIP au NEC/CC
 
Wazo linaweza kuwa zuri, ila kwa vile limetolewa na Zitto siwezi kulikubali. Huyu jamaa hufanya maamuzi yake mengi kwa kuzingatia maslahi yake binafsi na ya marafiki zake ambao wengi huwa maadui wa chama chake (CDM)
 
Katika historia ya Tanzania huru hakuna wakati ambapo wanawake walikuwa hawashiriki kupiga kura; na hakuna sababu ya msingi ya kushusha umri wa kuanza kupiga kura kuja miaka 16. Upigaji kura ni uamuzi wa mtu mzima na tunayo universal suffrage. Kama tunaamini mtoto wa miaka 16 anaweza kufanya uamuzi mkubwa wa kupiga kura basi tushushe universal suffrage ije kwenye 16 ili wenye umri huo waweze kufanya maamuzi mengine ya watu wazima - kuoa, kushtakiwa kama watu wazima, n.k n.k kwanini tushushe tu kwenye kupiga kura?

Hili la kushusha umri wa kugombea Urais kutoka 40 kuja 35 kunaweza kuwa kuzuri lakini kusihusu uchaguzi wa 2015 liwe kwa ajili ya uchaguzi wa 2020. Lakini wakiamua kuondoa hilo waondoe pia ulazima wa kuwa na shahada ya kwanza kwa mgombea wa Urais! Kwanini ni lazima mtu awe na shahada kuwa rais? kwani Urais ni kazi ya usomi?
kwani kipengele cha kuwa na shahada ya kwanza kipo kwenye katiba ya JMT au ya CCM??
 
Mimi nashangaa kitu kimoja. Aliyesema wazee wanaotaka urais mwaka 2015 ni JK lakini mashambulizi yote yako kwa Zitto ambaye aliyasema haya kujibu hoja na nini mtazamo wake tena basi ktk warsha ya vijana. Hivi mlitaka Zitto aseme kwamba hapana wazee tu ndio waendelee kuongoza nchi wakati hana hata haelewi sifa ya uzee kuwa rais ni nini, halafu mbele ya vijana wwalioandaa warsha hiyo. Au kwa tafisri zenu kusema kwake lazima kunamaanisha unautaka Urais?. Jamani mbona mnayafanya mabadiliko kuwa magumu kiasi hiki hivi kweli vijana nyie mtaweza kutukomboa au ndio tarariraaa kama siye hapa..Vijana hasa wa Chadema kwa nini mnamwogopa Zitto kiasi hiki?
 
Watu hivi kikwete haruhusiwi kutoa maoni yake kama mtanzania?tuache kuwa na fixed minds......The Logic is,ni kwa nini umri wa kugombea urais uanzie miaka 40? Haya ni matusi kwa walio na umri chini ya miaka 40,ni matusi kwa watanzania kwamba busara za kuongoza zinaanzia umria wa miaka 40?

Halafu funny enough,sijui ni kwa nini watu wana-feel insecure statement ya kushusha umri wa urais inapotolewa.


Naunga mkono katika kujenga imani kwa vijana wenye uwezo sawa na kujenga imani kwa wazee wenye uwezo !
Si kwamba haruhusiwi kutoa maoni, lakini kama umemwelewa yeye anachotaka ni kuhakikisha watu fulani hawachukui hiyo nafasi, amesema kinafiki zaidi..hatukatai kama angesema anatoa tu maoni, lakini hapa uelewe kuwa yeye anatoa azimio, kwamba iwe hivyo sio ndio Rais anatake aache vijana wa kumlinda.
 
Mkuu hilo suala la kushusha voting age nakubaliana nalo...naamini mtanzania aanweza kufanya maamuzi sahihi hata akiwa na 15 years.To be safe,tushushe umri wa kum-define mtu mzima constitutionally.

Nataka vigezo vilivyotumika kuweka umri wa mgombea urais kuwa 40 ili tufanye very health debate.Pia naona ni vizuri tuka-review umri wa mtu kuwa mtu mzima!

Haa haa haa! Unaona sasa wanasiasa uchwara wa Afrika walivyo na akili mbovu! Wanataka kubishana hata na sayansi! Kwao wanaangalia jambo kwa mtazamo wa mbwa.
 
Back
Top Bottom