OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Ni kwa nini uni-limit kumlinganisha na others especilly wa Chadema? why not beyond?
paragraph 2 na ya kwanza zote zinategemeana,tatizo uliposoma ya kwanza ulilipuka kwa mhemko na ulipoona paragraph ya pili ikakufariji.Pole sana mkuu,na sio wewe mwenyewe kuna wengine wengi tu utawaona hapa......
1. I am not limiting......it is a common logic kuwa atagombea kupitia huko so mchujo uanzie huko ndani then to outer space au atagombea kwa chama gani kwa mfano????......but the process will remain
2. Stimulus ndo husababisha response ndugu so just get that done
3. I was just advicing ili mpate picha ya public huko kwenye vyama vyenu ila kwa kuwa unageuka kuwa mbishi well just believe in your emotions and I keep thinking basing on existing facts