JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
wengi wanakimbilia kushambulia tu lakini hawajui ya kuwa mwenye hoja hii(GOdwine) ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema , lakini sijui kwanini amewataja wakuu wote au anataka kufanya mapinduzi ndani ya chama chake cha chadema?

Chadema hatuna viongozi wenye akili ya namna hii. Labda kama umekosea ulikuwa unakusudia kusema ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm ama cuf.
Ingawa pia hoja ya kwamba godwine ndiye huyo huyo king11 naanza kuona dalili za kuwa kweli.
 
rais anayo mamlaka ya kumwondoa mtu ndani ya nchi kwasababu za usalama wa nchi. kama ikionekana mtu huyo anahatarisha usalama wa taifa

Kama ni kweli, mbona hajaondoa hata fisadi mmoja kwa mamlaka hayo?

Labda uniambie anayo mamlaka ya kuwaondoa watu wanaomnyima usingizi kwa ku-expose dili zake za suti.
 
What a stupd thinking!? Hao watu sio raia kwa kununua, kupewa au kuamua. Ni wazaliwa wa nchi hii, hence raia! Hakuna anayeweza kuwafutia. Nyerere hakumfukuza Kambona ila aliondoka mwenyewe baada ya tofauti zao kuwa kubwa. Na hiyo haikumfutia uraia wake. The same to Babu. Uraia wa mtu haufutiki kwa mtu tu au raisi kusema au kuamua. Ni yeye mwenyewe kuukana uraia wake jambo ambalo sidhan kama watajwa hapo juu waliwahi kufikiri. Jk hawezi kutawala watz maana hawakumchagua. Atatawala kwa tabu hadi mwisho wake maana sina uhakika kama atamaliza kipindi chake! Hana ridhaa ya wananchi ndio maana hata wanaomlinda ni wale "waliomchagua!"[/QU Kaka,kumbe mawazo mufilisi ni kipaji km ulivyo upumbavu, sharti angeweza kufuta uraia ambao haujawahi kuandikwa basi afute uraia wa wenye akili wote hapa Tanganyika,ni wazi kwamba kuna kijijundi kidogo cha wana magamba ndo wanamkubali,mbona hakutaja Lowasa,Sita na Kingunge! Wamezoeshwa kutumwa tumwa tu,na kupayuka bila fikra!
 
What a stupd thinking!? Hao watu sio raia kwa kununua, kupewa au kuamua. Ni wazaliwa wa nchi hii, hence raia! Hakuna anayeweza kuwafutia. Nyerere hakumfukuza Kambona ila aliondoka mwenyewe baada ya tofauti zao kuwa kubwa. Na hiyo haikumfutia uraia wake. The same to Babu. Uraia wa mtu haufutiki kwa mtu tu au raisi kusema au kuamua. Ni yeye mwenyewe kuukana uraia wake jambo ambalo sidhan kama watajwa hapo juu waliwahi kufikiri. Jk hawezi kutawala watz maana hawakumchagua. Atatawala kwa tabu hadi mwisho wake maana sina uhakika kama atamaliza kipindi chake! Hana ridhaa ya wananchi ndio maana hata wanaomlinda ni wale "waliomchagua!"[/QU Kaka,kumbe mawazo mufilisi ni kipaji km ulivyo upumbavu, sharti angeweza kufuta uraia ambao haujawahi kuandikwa basi afute uraia wa wenye akili wote hapa Tanganyika,ni wazi kwamba kuna kijijundi kidogo cha wana magamba ndo wanamkubali,mbona hakutaja Lowasa, Kingunge,Wasioba,Butiku,Sumaye,Mangula, ,na kupayuka bila fikra!
 
Mafisadi ni kina nani unaweza kuwataja kwa majina au ni nadharia tu. kidogo mwita maranya unaelekea kuwa mtu wa majibizano ya hoja kuliko washabiki wengi wa watu Tunaotaka kuwafukuza wanakuja na matusi kibao wakidhani ni hoja...ndio maana wakati mwingine watu wanasema washabiki wa dr slaa, zitto,mnyika,shivji, pengo, malasusa na bakwata ni wahuni tu ambao wanataka kuvuruga nchi.

Mara nyingi nafuatilia hoja za pande mbali mbali kuanzia za Chadema, CUF , CCM, NCCR lakini kitu nilichogundua asilimia zaidi ya 50% ya viongozi kwenye vyama vya siasa wanajiendesha kwa hoja. lakini asilimia zaidi ya 50% ya wanachama mbalimbali ni wahuni tu na kazi yao ni kuendesha siasa za vurugu.

Ndio maana kwa upande wangu nimeshauri jk kama anataka kukabiriana na matatizo haya ni lazima afute uraia wa viongozi wakuu wa chama cha chadema, na wakufunzi wanaharakati katika vyuo vikuu na kumalizia kabisa ni wanatheolojia wakubwa kama pengo, malasusa, mokiwa na wengine.

jk fanya mchakato huu mapema kadri inavyowezekana.:smash:
:smash:

Nimekuelewa vizuri sasa.
Hii research yako ukimaliza kuifanya naomba utupe results,ikiwezekana kabla hujamfikishia aliyekutuma.
Ni kweli hao watu uliowataja wafutiwe uraia wana ushawishi mkubwa kwenye jamii na wanahatarisha maisha ya mafisadi. Nenda kamwambie aliyekutuma kuwa njia pekee ya kuleta amani ya kweli na utulivu ni kwa jk kusikiliza maoni ya uliowataja kwani ndio maoni ya wananchi wengi,ukimsisitiza kwamba suti ya wengi ni sauti ya MUNGU
 
Mafisadi ni kina nani unaweza kuwataja kwa majina au ni nadharia tu. kidogo mwita maranya unaelekea kuwa mtu wa majibizano ya hoja kuliko washabiki wengi wa watu Tunaotaka kuwafukuza wanakuja na matusi kibao wakidhani ni hoja...ndio maana wakati mwingine watu wanasema washabiki wa dr slaa, zitto,mnyika,shivji, pengo, malasusa na bakwata ni wahuni tu ambao wanataka kuvuruga nchi.

Mara nyingi nafuatilia hoja za pande mbali mbali kuanzia za Chadema, CUF , CCM, NCCR lakini kitu nilichogundua asilimia zaidi ya 50% ya viongozi kwenye vyama vya siasa wanajiendesha kwa hoja. lakini asilimia zaidi ya 50% ya wanachama mbalimbali ni wahuni tu na kazi yao ni kuendesha siasa za vurugu.

Ndio maana kwa upande wangu nimeshauri jk kama anataka kukabiriana na matatizo haya ni lazima afute uraia wa viongozi wakuu wa chama cha chadema, na wakufunzi wanaharakati katika vyuo vikuu na kumalizia kabisa ni wanatheolojia wakubwa kama pengo, malasusa, mokiwa na wengine.

jk fanya mchakato huu mapema kadri inavyowezekana.:smash:
:smash:

Nimekuelewa vizuri sasa.
Hii research yako ukimaliza kuifanya naomba utupe results,ikiwezekana kabla hujamfikishia aliyekutuma.
Ni kweli hao watu uliowataja wafutiwe uraia wana ushawishi mkubwa kwenye jamii na wanahatarisha maisha ya mafisadi. Nenda kamwambie aliyekutuma kuwa njia pekee ya kuleta amani ya kweli na utulivu ni kwa jk kusikiliza maoni ya uliowataja kwani ndio maoni ya wananchi wengi,ukimsisitiza kwamba suti ya wengi ni sauti ya MUNGU.

Sichangii mada...
 
Hakyanani mwanzo nilifikiri huyu dog wine anatania kumbe yupo serious!

Hivi wewe, unataka kuniambia kuwa Dr.Slaa ndio anayemfanya Kikwete ashindwe kufanya maamuzi ya busara hadi akatuchagulia mabalozi ambao wananchi wa maeneo wanayotoka walishawaona hawafai hata kuwakilisha jombo?

Una akili wewe kusema anayoyafanya Kikwete ni kwa kuipenda nchi? Yapi: Ya kumwacha Jairo na wenzake watese mitaani ilhali wameshathibitika kuwa wameongeza 1 kulia kwa kila 20,000 na kufoji risiti na kila aina ya uchafu?

Ni Dr. Slaa na Mbowe ndio wanao....embu usinichoshe. Hizi akili za Ki-Malaria Sugu sijui zitaisha lini. Mods tafadhalini fungueni JUKWAA LA MATAAHIRA kwa ajili ya topic za namna hii. Hata wagonjwa wa akili nao wana haki zao.
 
Tatizo ni kwamba siasa ndo zina determine all of that na si katiba ya nchi, mostly party affiliation...
 
Nadhani akina mokiwa na pengo na malasusa asiwafukuze bali aweke kodi kubwa kwenye makanisa yao watanyamaza tu[/QU Issue ni kunyamaza tu? Kwa nini usiwe positive,timiza majukumu,peleka huduma za jamiivijijini! Makanisa yamejenga miundombinu ya kutosha nchi nzima hii,kuna mpaka hospitali za rufaa(KCMC na Bugando) za wilaya za kutosha fanya hmwrk tafuta,mashule yote mazuri n.k n.k,umesahau wewe mwenyewe mb uislamu wako umezaliwa hospitali ya mission. Mahesabu yako hivi,ukiongeza kodi huko,nduguzo watakufa na kuwa wajinga daima,kwani huduma itolewayo sasa na mashirika haya itakuwa biashara na nduguzo hawawezi kulipa kamwe! Unafikiri ukienda kutembea ikukulu ovyoovyo ndo utapona? Angalia,vigogo wote wanakwenda kutibiwa nje,msijidanganye nyie waislam,jengeni miundombinu ndo mtaendelea,maneno maneno ndo maana mnagangania mabondeni!
 
Hiyo katiba ya Msoga itakayompa hayo madaraka wa kuwavua wazalendo uraia wao sijawahi kusikia muswada wake ukipelekwa hata mbele ya vikao ya CCM kwa maoni kabla hujaenda bungeni. Sasa sijui atatumia ground zipi kutimiza hilo.
 
Watu wanasema lakini hawafahamu nguvu za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, unadhani kama akiamua ni nani ambaye anaweza kusimama na kupambana na rais au unadhani kuwa na uhuru wa kutuma maoni katika JF ndio kuwa na nguvu za dola.

Msijidanganye na narudia Tena msidanganyike rais akiamua anaweza watia gerezani wote ao akini dr slaa, mnyika , lema ,pengo malasusa , mokiwa na shivji muda wote akitaka.

Kwani walipomtia ndani Lema nini kilitokea, Mboe nae alipotiwa ndani nini kilitokea, Mokiwa nae alipokuwa akitafutwa na polisi si alijisalimisha mwenyewe , sasa mnapopiga kelele kwenye jukwaa hili mlizuia Mboe kutiwa ndani au dr slaa na kesi zake si zipo mahakamani unadhani rais akitia mkono wake si anaozea magereza na nyinyi mtabaki tukana na kupiga kelele kwenye majukwaa tu kama JF.

Rais akiamua anawafanya chochote watajwa hapo juu, anaweza kuwakimbiza nchi au ata kuwafunga au angekuwa muuaji angewapiga sumu kama wengine wanavyopigana sumu.

Rais Kikwete kama unataka nchi itawalike kwa amani basi wafukuze watajwa hapo juu la sivyo watakusumbua kipindi chote cha utawala wako....watu gani kila mara wanaendesha maandamano na kuchochea migomo
 
Huenda huelewi unachotaka kukifikisha kwa wadau hapa JF.

Umekuwa ukizungumzia uwezo wa raisi kuwavua uraia wananchi ambao kwa mtazamo wako unadhani wanamyima kikwete fursa za kuiendesha vizuri nchi. Baada ya kufahamishwa kwamba raisi hana mamlaka hayo kisheria na kikatiba, sasa naona umeanza kuhama huko na unazungumzia kuwatia ndani.

Hata hivyo, usipoteze muda kujidanganya kwamba raisi anaweza akaamua tu kuwatia watu ndani akijisikia, labda awe raisi mwingine, si huyu kikwete tunayemfahamu, anayewahurumia hata wezi na wala rushwa.
 
Tambua rais ni mwenyekiti wa CCM chama kinachotawala bunge, kwahiyo ata kama sheria ya kuwafuta watu uraia haipo anaweza kuamuru muswada wa haraka na ndani ya mwezi mmoja tu sheria ikawepo na akaitumia.

Kuna nani anayeweza kuzuia chama cha mapinduzi kupitisha sheria yeyote wakitaka. je umeona nguvu zake walipopitisha muswada wa katiba na kuzuia mgombea binafsi sasa bado hujapata picha kuwa akitaka chochote kinawezekana?
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

'Spams' can read and write.
 
Anaweza kuwafutia uraia au kuwapeleka uamishoni ama kuwaua,lakini kama hawezi kufuta mawazo yao kwenye jamii ya watanzania!!!
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Mwenzetu Xmas ulikula nini? Yaonyesha tumbo lako limechafuka. Pole sana mkuu.
 
Uraia ni haki ya kuzaliwa isiyopokoponyeka. Unampa rais kazi ngumu ya kumtafutia hifadhi nchi nyingine!!!
 
Watu wanasema lakini hawafahamu nguvu za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, unadhani kama akiamua ni nani ambaye anaweza kusimama na kupambana na rais au unadhani kuwa na uhuru wa kutuma maoni katika JF ndio kuwa na nguvu za dola.

Msijidanganye na narudia Tena msidanganyike rais akiamua anaweza watia gerezani wote ao akini dr slaa, mnyika , lema ,pengo malasusa , mokiwa na shivji muda wote akitaka.

Kwani walipomtia ndani Lema nini kilitokea, Mboe nae alipotiwa ndani nini kilitokea, Mokiwa nae alipokuwa akitafutwa na polisi si alijisalimisha mwenyewe , sasa mnapopiga kelele kwenye jukwaa hili mlizuia Mboe kutiwa ndani au dr slaa na kesi zake si zipo mahakamani unadhani rais akitia mkono wake si anaozea magereza na nyinyi mtabaki tukana na kupiga kelele kwenye majukwaa tu kama JF.

Rais akiamua anawafanya chochote watajwa hapo juu, anaweza kuwakimbiza nchi au ata kuwafunga au angekuwa muuaji angewapiga sumu kama wengine wanavyopigana sumu.

Rais Kikwete kama unataka nchi itawalike kwa amani basi wafukuze watajwa hapo juu la sivyo watakusumbua kipindi chote cha utawala wako....watu gani kila mara wanaendesha maandamano na kuchochea migomo

We hamna kitu kichwani unadhani kuwa rais wa nchi ndio kila kitu.......!Umevimbilwa Pilau na biriani la kwenye krismas.
 
Obsolent and awkward thinking has got no shame that is why your posting it but if could be you who has that mandate you couldn't say that. To deport politician and other famous persons like Dr.Slaa will put our country in hard time and the country couldn't be rulled as your thinking, Be serious please
 
Pakawa,kweli akiliyako haipo,kama jina lako ndo akili yako ilivyo.Inakuaje Vipofu wawili kuongozana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom