JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Hili ni tatizo la madawa ya kulevya.
 
Lakini Godwine, mbona kuna njia rahisi zaidi ya kuhakikisha nchi inatulia na shughuli za maendelao ya Taifa zinafanyika nayo si nyingine bali ni Jakaya Mrisho Kikwete kubwaga manyanga. Hebu fikiria kesho unaamka na habari ya kwanza redioni ni kuwa Jakaya Mrisho Kikwete si Raisi tena wa nchi hii ! Sijui wewe lakini mimi naona kama siku hiyo kisiki kinachokwamisha maendeleo kitakuwa kimeng'olewa !
Oh, how much I await such a beautiful day !
 
kaka ukiona watu tunakula pilau ujue ndio maisha bora aliyosema jk. lakini kwanini wakuu wa chama chako wanasababisha serikali kushindwa kupanga mambo ya maendeleo? hiyo sio siasa japo wangengoja 2014 lakini wao peoples power kama tuna kampeni sasa , pinda kashawaambia waache maandamano na mashinikizo kwani wanayumbisha nchi wao wanazidisha.Ndio maana njia pekee kwa JK ni kufuta uraia wa watu ao

Mkuu mbona unataka kusahau kwamba mafisadi ndo wameshikilia uchumi wa nchi hii na ndio wanampa shida JK hadi ashindwe kuongoza nchi. Na amekiri kwamba hawakamatiki (rejea EPA scandal). Halafu hii slogan ya maisha bora bado unathubutu kuirejea? Raisi wako anasema wingi wa magari dar ni ishara ya maisha bora. Wewe unasema kula pilau la krismas ndio maisha bora. Kweli ccm wote mmefikia ukomo wa kufikiria!

JK aliwaahidi watanzania ahadi zaidi ya 70 uchaguzi mkuu wa 2010 ambapo ni mwaka mmoja tu uliopita, ahadi ambazo zinahitaji takribani sh. 100 trilioni kuzitekeleza. As of now hajafanikiwa kutekeleza yoyote na upatikanaji wa fedha umekuwa mgumu sana hadi mishahara ya wafanyakazi wa serikali imeanza kusuasua kulipwa kwa wakati muafaka, imefikia hatua ya kukopa benki ili kulipa mishahara.

Tukiwa fair katika hali kama hii, bila shaka JK anatakiwa kuachia ngazi kwa kushindwa kuiongoza nchi.
 
Nina mashaka na Uraia wako wewe uliyepost hii thread... Lakini pia nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri koz unatumia hisia zaid kuliko mantiki. Nani kakwambia matatizo yanakimbiwa?
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
Nani kakutuma wewe? Umetoka usingizini au ni jinamizi lilikukamata ukaja na upupu huu?
 
Mtu mwenyewe aliyeleta thread anaitwa Godwine, yaani God + wine nanyi mnaendelea kuchangia, hapo mtakesha
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

ARE serious??
 
Mungu toa hukumu yako dhidi ya JK. Simpendi huyu mtu, huenda natenda dhambi kwa kumchukia, kama anatufaa ila mimi namchukia kwa hila zangu naomba hiyo hukumu iwe yangu.
"JK JIUZULU BASI"
Naamin hakuna rais wa Tanzania anayechukiwa na ataendelea kuchukiwa na vizazi hadi vizaz vya nchi hii kama huyu.
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Adui yako ni kura uliyompa 2010... halafu jicheki vizuri..isije ikawa unatumia masaburi kufanikisha mambo yako
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
afute na uraia wa mama yako
 
Mkuu mbona unataka kusahau kwamba mafisadi ndo wameshikilia uchumi wa nchi hii na ndio wanampa shida JK hadi ashindwe kuongoza nchi. Na amekiri kwamba hawakamatiki (rejea EPA scandal). Halafu hii slogan ya maisha bora bado unathubutu kuirejea? Raisi wako anasema wingi wa magari dar ni ishara ya maisha bora. Wewe unasema kula pilau la krismas ndio maisha bora. Kweli ccm wote mmefikia ukomo wa kufikiria!

JK aliwaahidi watanzania ahadi zaidi ya 70 uchaguzi mkuu wa 2010 ambapo ni mwaka mmoja tu uliopita, ahadi ambazo zinahitaji takribani sh. 100 trilioni kuzitekeleza. As of now hajafanikiwa kutekeleza yoyote na upatikanaji wa fedha umekuwa mgumu sana hadi mishahara ya wafanyakazi wa serikali imeanza kusuasua kulipwa kwa wakati muafaka, imefikia hatua ya kukopa benki ili kulipa mishahara.

Tukiwa fair katika hali kama hii, bila shaka JK anatakiwa kuachia ngazi kwa kushindwa kuiongoza nchi.

Mafisadi ni kina nani unaweza kuwataja kwa majina au ni nadharia tu. kidogo mwita maranya unaelekea kuwa mtu wa majibizano ya hoja kuliko washabiki wengi wa watu Tunaotaka kuwafukuza wanakuja na matusi kibao wakidhani ni hoja...ndio maana wakati mwingine watu wanasema washabiki wa dr slaa, zitto,mnyika,shivji, pengo, malasusa na bakwata ni wahuni tu ambao wanataka kuvuruga nchi.

Mara nyingi nafuatilia hoja za pande mbali mbali kuanzia za Chadema, CUF , CCM, NCCR lakini kitu nilichogundua asilimia zaidi ya 50% ya viongozi kwenye vyama vya siasa wanajiendesha kwa hoja. lakini asilimia zaidi ya 50% ya wanachama mbalimbali ni wahuni tu na kazi yao ni kuendesha siasa za vurugu.

Ndio maana kwa upande wangu nimeshauri jk kama anataka kukabiriana na matatizo haya ni lazima afute uraia wa viongozi wakuu wa chama cha chadema, na wakufunzi wanaharakati katika vyuo vikuu na kumalizia kabisa ni wanatheolojia wakubwa kama pengo, malasusa, mokiwa na wengine.

jk fanya mchakato huu mapema kadri inavyowezekana.:smash:
:smash:
 
Waungwana mimi naomba kujuzwa kwani Rais ana mamlaka ya kumfukuza au kumnyan'ganya mtu URAIA wake aliozaliwa nao????
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Hii mi sifa moja ya watu ambao ni wavivu wa kufikiri, huwa wanataka kutumia njia rahisi kuliko zote na zenye madhara makubwa kuliko wanachoweza kutabiri. Sidhani kama JK nae ni mvivu wa kufikiri kiasi hichi, nafikiri wewe utakua mmoja wa washauri wake wanaomwaribu kwa mawazo ghafi ambayo hayajafanyiwa tasmini ya kina.
 
Mafisadi ni kina nani unaweza kuwataja kwa majina au ni nadharia tu. kidogo mwita maranya unaelekea kuwa mtu wa majibizano ya hoja kuliko washabiki wengi wa watu Tunaotaka kuwafukuza wanakuja na matusi kibao wakidhani ni hoja...ndio maana wakati mwingine watu wanasema washabiki wa dr slaa, zitto,mnyika,shivji, pengo, malasusa na bakwata ni wahuni tu ambao wanataka kuvuruga nchi.

Mara nyingi nafuatilia hoja za pande mbali mbali kuanzia za Chadema, CUF , CCM, NCCR lakini kitu nilichogundua asilimia zaidi ya 50% ya viongozi kwenye vyama vya siasa wanajiendesha kwa hoja. lakini asilimia zaidi ya 50% ya wanachama mbalimbali ni wahuni tu na kazi yao ni kuendesha siasa za vurugu.

Ndio maana kwa upande wangu nimeshauri jk kama anataka kukabiriana na matatizo haya ni lazima afute uraia wa viongozi wakuu wa chama cha chadema, na wakufunzi wanaharakati katika vyuo vikuu na kumalizia kabisa ni wanatheolojia wakubwa kama pengo, malasusa, mokiwa na wengine.

jk fanya mchakato huu mapema kadri inavyowezekana.:smash:
:smash:

Du we mkuu unakera watu, mbona unasema unafuatiliaga hoja za wanasiasa halafu hujasikia majina ya mafisadi? Mengi aliwataja, Nape akawataja, na wanasiasa wengi wamewataja akiwemo Chenge, Lowasa, na aliyewai kuwa mbunge wa Igunga! Au we unafuatilia mambo gani boss wangu? Inaonekana huna taarifa kabisa weye!!!!! Kajipange upya uje na hoja nyingine
 
Hii mi sifa moja ya watu ambao ni wavivu wa kufikiri, huwa wanataka kutumia njia rahisi kuliko zote na zenye madhara makubwa kuliko wanachoweza kutabiri. Sidhani kama JK nae ni mvivu wa kufikiri kiasi hichi, nafikiri wewe utakua mmoja wa washauri wake wanaomwaribu kwa mawazo ghafi ambayo hayajafanyiwa tasmini ya kina.

si kla hoja unaweza kufahamu na kutambua nini maana yake, kama hoja ni nzito kuliko kimo ni bora ukaiacha ipite kuliko kujaribu kurukia. anyway ni uhuru na mtazamo wako
 
wengi wanakimbilia kushambulia tu lakini hawajui ya kuwa mwenye hoja hii(GOdwine) ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema , lakini sijui kwanini amewataja wakuu wote au anataka kufanya mapinduzi ndani ya chama chake cha chadema?
 
Mafisadi ni kina nani unaweza kuwataja kwa majina au ni nadharia tu. kidogo mwita maranya unaelekea kuwa mtu wa majibizano ya hoja kuliko washabiki wengi wa watu Tunaotaka kuwafukuza wanakuja na matusi kibao wakidhani ni hoja...ndio maana wakati mwingine watu wanasema washabiki wa dr slaa, zitto,mnyika,shivji, pengo, malasusa na bakwata ni wahuni tu ambao wanataka kuvuruga nchi.

Mara nyingi nafuatilia hoja za pande mbali mbali kuanzia za Chadema, CUF , CCM, NCCR lakini kitu nilichogundua asilimia zaidi ya 50% ya viongozi kwenye vyama vya siasa wanajiendesha kwa hoja. lakini asilimia zaidi ya 50% ya wanachama mbalimbali ni wahuni tu na kazi yao ni kuendesha siasa za vurugu.

Ndio maana kwa upande wangu nimeshauri jk kama anataka kukabiriana na matatizo haya ni lazima afute uraia wa viongozi wakuu wa chama cha chadema, na wakufunzi wanaharakati katika vyuo vikuu na kumalizia kabisa ni wanatheolojia wakubwa kama pengo, malasusa, mokiwa na wengine.

jk fanya mchakato huu mapema kadri inavyowezekana.:smash:
:smash:

Majina ya mafisadi yanajulikana, Kikwete alipounda task force ya akina mwanyika na igp mwema na kuamua kukusanya fedha kimya kimya alidhihirisha kwamba mafisadi ndio wenye nguvu kuliko yeye raisi. Na alikiri kwamba hawakamatiki, kwani kuwakamata kutayumbisha nchi, bahati mbaya amewaacha kuwakamata lakini nchi ndio inazidi kuyumba.

Hata hivyo kwa msaada zaidi, viongozi wa chadema walimsaidia kikwete na watanzania wote kuwafahamu mafisadi wanaoitesa nchi hii kwa sababu ya uongozi legelege wa kikwete, walitaja majina yote pale mwembe yanga. Na juzi kwenye mkutano wa NEC ya ccm dodoma lowasa kamueleza kinagaubaga jinsi jk alivyoshiriki ufisadi wa richmond, unataka kuelezwa nini ili uwatambue mafisadi?

Hatahivyo hakuna sheria yoyote inayompa raisi mamlaka ya kumvua mtu uraia, tena kwa kesi hii hawa wana uraia wa kuzaliwa. Labda kama ni kutengeneza zengwe ili kufanikisha mpango huu unaoshauri ungeweza kufanikiwa kwa wale wenye uraia wa kununua, sasa bahati mbaya kwenu ni kwamba hawa wote unaowaombea mabaya ni raia wa kuzaliwa.

Na siku kikwete atakapopotoka akakubali ushauri kama huu, basi ujue amechoka kukaa magogoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom