JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Hivi wewe una akili timamu kweli?
 
Hayo madaraka ya Rais kumfuta mtu uraia kiholela hivyo ameyatoa wapi? Hana madaraka hayo.
pindi waraka huu utapofika kwa rais CCM watapeleka muswada wa dharura bungeni na ukipita rais atausaini na sheria ya kufuta watu hawa uraia itakuwa imetungwa na kuanza kutumika kwa watajwa hapo juu
 
Mi nadhani wanaostahili kufukuzwa ni
1.Rostam
2. Manji
3.Patel
4.Membe
5. Lowasa
6.
7
8
ongezea
 
si rahis sana kufanya hiyo ila sifikiri kama ni jambo la busara kuwafukuza,,,, hiyo ninaamini kuwa ndo itamletea ugonjwa wa moyo zaidi maana watu hawatakaa kimya.... if u want to be great leader si vema kujitengenezea defensive mechanicims kwa jinsii hiyo.... ili presha zipungue ( maana haziwezi kwisha) basi ajipange kukabiliana na changamoto zinazoikabili nchi kwa muda huu
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
Kambona kama alivyosimulia baada ya kufika London ni kuwa alihofia usalama wa maisha yake baada ya kutofoutiana na Nyerere kuhusu Azimio la Arusha. Kwa hiyo hakufukuzwa nchini alikimbia mwenyewe. Tatizo ni kuwa dunia ni kama kijiji na akijaribu kufanya hivyo atabanwa na nchi zingine. Umemshauri vibaya huyo Jk.
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Unadhani anao uwezo wa kufanya maamuzi yoyote? Hata kama nikwa maslahi ya taifa labda kwa maslahi yake ndo angeweza
 
Pole sana ndugu yangu ila umepotea. Kwa kufanya hilo unalotaka, unampa JK kibali cha kuwa diktata.
Kuna watu ambao JK akifuta uraia/au kuwamaliza nchi hii itatawalika. Hao uliowataja hapo juu wanapiga kelele kwa ajili ya mambo ya hao watu ambao nimesema JK awamalize.

Na yeye mwenyewe JK anawajua fika.

Ila hao uliowataja, umepotea kabisa.

Kwa kifupi mwambie kikulacho kii nguoni mwake
 
rais anayo mamlaka ya kumwondoa mtu ndani ya nchi kwasababu za usalama wa nchi. kama ikionekana mtu huyo anahatarisha usalama wa taifa

Je kama nguvu ya uma ikitumia atawaondoa wote walioandamana?
 
Ila kama ni kweli watu kama hao wanatakiwa kuondolewa na katiba inaruhusu Jk hawezi kufanya uamuzi kama huo zaidi ya kupiga kimya tu
 
Aise ee! Inabidi tume ya uchaguzi iliyomtangaza raisi ichunguze kama ni watanzania kweli, maana huenda ilimtangaza rais ambaye hakuchaguliwa na wananchi
 
Godwin ndugu yangu nasikitika sana kuona Watanzania wenye upeo mdogo kiasi hiki! kweli Tanzania tunakazi!

Kwanza raisi hana manlaka ya kumpa mtu au kuchukua uraia wa Mtanzania yeyote. Pili Tatatizo la Kikwete na CCM ni maendeleo sio watu wala Chadema! mfano mikataba mibaya ya madini, umeme, utoaji wa vibali vya viwanja, barabara, maji, afya ni CCM ambao wanaipeleka nchi chini na si upinzani!. Kikwete na uongozi kwa bahati mbaya hawana uwezo au ujuzi wa kuleta maendeleo Tanzania. Mimi naona kwa CCM mtu pekee ambaye angeweza kusafisha nchi ni Magufuli peke yake. Kikwete na CCM badala ya kutafuta njia ya kukimbiza nchi nje angechukua mawazo mazuri ya upinzania na kufanyia kazi mfano swala la rushwa!. Hawa viongozi wa sasa kwa bahati mbaya hawana uwezo wala nia ya kuleta maendeleo bali kujilimbikizia malitu.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom