Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
CCM leo imezindua tawi lao la Boda to Boda, ambalo inasemekana ni mkusajiko wa vijana wanao endesha bajaj na pikipiki, tawi ili limejengwa jana usiku saa tatu baada ya kuwaandikisha majina vijana wanaouza mau na waendesha piki piki eneo hilo na hatimae kuwapa pesa na kuwajulisha kuwa wanajenga tawi lao hapo hivyo wao watakuwa wasimamizi wa shina hilo jipya..
Ujenzi uliendelea usiku huo na kumalizika leo saa tano asubuhi. Magari ya kampeni ya CCM yalizunguka mitaa yote ya Mbezi juu na Mbezi Beach ya kiwajulisha wakazi wa maeneo hayo kuhusu shina hilo, na kusema litaziduliwa mwenyekiti wa CCM Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ndiye atayae lizindua
Saa 4:20 jioni rais ali wasili eneo hilo akipokelewa na wajumbe wa nyumba kumi na baadhi ya wakazi wachache waeneo hilo, alikaribishwa na mwenyekiti wa waendesha piki piki aliye jitambulisha kwa jina moja la Thomas, na kumueleza mwenyekiti wa CCM kuwa wameanzisha tawi hilo baada ya kuona CCM ndicho chama pekee kinacho jail maslahi ya wananchi na kina dumisha amani. Akawashukuru Charles Kimei na mke wake kwaku gharamikia ujenzi wa tawi hilo..
Hatimaye walimkaribisha rais kuzindua tawi hilo, rais alikwenda kukata utepe na kupandisha bendera ya CCM,kichekesho ni kwamba alipo maliza kupandisha hiyo bendera aligundua kuwa ilikuwa imefungwa vibaya kwani maandishi yalikuwa yana tizama juu na hivyo kushindwa kusomeka,alipata kazi ya ziada ya uishusha na kuifuga upya akisaidiana na mlinzi wake
Alirudi kwenye gari yake na kuchukua mic na kuwashukuru vijana hao wa kujiunga na CCM na kuzindua tawa hilo, na kuwa shukuru Kimei na mke wake kwa mchango wao ,aliwaambia vijana hao wasiishie kuungana tu kwenye kwenye maswala ya vyama bali wa fanye hivyo atakwenye maswala ya kujiinua kiuchumi na kwenda kukopa mikopo