MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,520
- 1,368
Sidhani kama hiyo nafasi aliyopewa anaweza kuifanyia kazi na kusaidia hata nchi yetu na bara kwa ujumla kuendelea, Angalia hizi
Alivyokuwa waziri wa fedha aliwahi kusema uwongo ambao ulileta matatizo sana Bungeni.
Watu hawakuona hilo, wakampa kura, akawa Raisi, angalia sasa Matatizo anayotuletea hapa nchini jamani.
Sasa mtu huyu leo anapewa Urais wa AU, hivi inakuja akilini?
Aangalie asije kuleta Ufisadi wake huko kwenye nchi za watu, wao wana sheria watamfunga na akafilie jera
Hivi Mheshimiwa alikuwa waziri wa fedha vile..? Alisema kwa Kiswahili?
Katika kushkuru Tanzania kupata nafasi Mwenyekiti AU -JK alitumia Kiswahili- tofauti na Lugha za Kireno, Kifaransa, Kiarabu na Kiingereza- lugha za Mkoloni zilizozoeleka AU na Afrika!
AU iliidhinisha Kiswahili kama Lugha rasmi tangu 2004 ila bado ilikuwa haijaanza kutumika!
Je AU wamejiandaa na raslimali (watu na pesa) kuona kuwa Kiswahili kinaendelea kutumika ipasavyo? Mwaka jana AU ilitangaza nafasi nne (4) za ajira wakalimani Kiswahili!
Naskia JK alipoongea Kiswahili Adis leo 31/01 alishangiliwa sana!
Ni matumaini yetu nafasi ya Mwenyekiti AU Tanzania itakuza hii lugha ya Kiswahili- kutumika zaidi AU
Jamani mnaonaje? Je muda wa kutumia Kiswahili AU tayari? Au JK anatafuta umaarufu?

rioneni na hiri heti maruga ya kikoroni si wariwakoronaizi mababu na mabibi zako kwani warikukoronaizi wewe na mibabu na mibibi ya mababu na mabibi zako si wariwakoronaizi mababu na mabibi wa mibabu na mibibi yao. kwani wewe hujasoma yare mambo ya kure zama za kare. si mababu na mabibi wa mibabu na mibibi yako ndio irikiuwa mijitu ya mwanzo hapa kwenye hiri ridunia renu. si mipicha ya mifupa yao ipo pare mijitu inakokwenda kujikumbusha mihapari ya kare. karibu na rire ri chuo ra mipesa pare darisalama. sasa kama yariripa mikisasi si yanasomaga kwenye mivitabu yenu. umekwisha nikorogaga sana kwa huritumii rikichwa rako, kwaniire shure uriperekwa kufanyanga nini