SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,974
- 75,056
Huyu mwanaye itabidi akae Mkao wa KULA maana sintashangaa kusikia kaambiwa kuwa KUNAHITAJIKA ZULIA la kukalia.
Itabidi ATOWE Mwanakondoo Mtamu wa KAFARA. Kijana kuwa macho..........
Jamani alikuwa ametembelea ndugu zake wakamtengenezea Mbuzi wa kumpongeza kwa ushindi wa kishindoNdani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.
my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
jamani JF hebu tuache uchawiNdani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.
my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
....hivi kumbe mashehe nao ni wachawi!!jamaa aliambia alikuwa na shehe mmoja ila hana uhakika kama yule alikuwa shehe Yahya au shehe mwingine.
:gossip::kev::A S-confused1:
unless una videos (sio photos sababu they can be photoshopped) this is very hard to substanciate.....

Du!!Inamaana hata wewe uhamini mambo ya kafara na ushirikina,wakati wewe ni mtaalamu wa lyamba lya mfipa,mahali ambapo shoka liliungua mpaka jivu, na mpini ukabaki salama!!
Akose tena ,na yeye ndiye alishasema atamwongezea ulinzi zaidi!!
jamani JF hebu tuache uchawi
River side kila siku wanachinja mbuzi.... mie krismas nilichinja mbuzi
sasa naona tunaenda mbali against everything
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.
my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
Jamaa upo deep.
:gossip::kev::A S-confused1:
unless una videos (sio photos sababu they can be photoshopped) this is very hard to substanciate.....
Hiyo kafara unajua inatolewa kivipi?
Otherwise kusoma dua na kuchinja mbuzi halafu ukawapa watu nmasikini SIO KAFARA WALA TAMBIKO.
Dua haihitaji kuchinja chochote kwa kuwa Mwenyezi Mungu anatazama moyoni mwako, huhitaji kutoa rushwa unapoomba dua.
....hivi kumbe mashehe nao ni wachawi!!