JK atoa kafara MSOGA

mdaumie

Member
Joined
May 12, 2008
Posts
77
Reaction score
1
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.

my quote:
Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
 
Atatoa kafara mpaka atamwua mamake.
 
:gossip::kev::A S-confused1:
unless una videos (sio photos sababu they can be photoshopped) this is very hard to substanciate.....
 
Taifa linaloongozwa na uwezo wa NDUMBA na kuweka pembeni wasomi wake wenye taalum na maarifa lukuki kamwa halifiki mbali.

Za Sheik Yahaya ndiyo hiyo imechuja, umeyasikia ya huko MZOGA bado ya MLINGOTINI wakati taifa zima kwa imani zetu TUMEFUNGA na kuliombea nchi yetu dua njema; Mungu atuokoe tuondokane kabisa na MAFISADI, awaaibishe WACHAWI na kuonyesha uwezo wake ya ajabu kutupa njia mpya ya kufwata kujiandikia wenyewe KATIBA MPYA bila ya kuwekwa kati madalali kuwakilisha hoja na tija za watawala wadhalimu tu.

Ingawaje wengi hatuamini ushirikina lakini viongozi kushiriki huko hasa baada ya kumwaga damu ya Watanzania wasio na hadia ni kujidhalilisha tu na kupoteza muda wao bure!
 
Kwa ndumba JK ndio mwenyewe halafu kila siku mganga wake anamwambia mbaya wake chadema!
 
Hiyo kafara unajua inatolewa kivipi?

Otherwise kusoma dua na kuchinja mbuzi halafu ukawapa watu nmasikini SIO KAFARA WALA TAMBIKO.
 
Mwenyekiti wa jopo la wachawi wake anaitwa Mohamed Mbega toka Bumbuli, na huyu ndiyo kiungo mkubwa kati ya JK na Makamba.Mzee Mbega ndiye aliongoza hiyo ibada ya kafara
 
Mna uhakika?

Inamaana hata wewe uhamini mambo ya kafara na ushirikina,wakati wewe ni mtaalamu wa lyamba lya mfipa,mahali ambapo shoka liliungua mpaka jivu, na mpini ukabaki salama!!
 
Mwenyekiti wa jopo la wachawi wake anaitwa Mohamed Mbega toka Bumbuli, na huyu ndiyo kiungo mkubwa kati ya JK na Makamba.Mzee Mbega ndiye aliongoza hiyo ibada ya kafara

Masikini wanamdanganya mzee wa watu tu!!
 
yule ngamia walimchinja kipindi walipofanikiwa kumtosa Sita hakutosha?
 
Huyu mwanaye itabidi akae Mkao wa KULA maana sintashangaa kusikia kaambiwa kuwa KUNAHITAJIKA ZULIA la kukalia.

Itabidi ATOWE Mwanakondoo Mtamu wa KAFARA. Kijana kuwa macho..........


Mwenyekiti wa jopo la wachawi wake anaitwa Mohamed Mbega toka Bumbuli, na huyu ndiyo kiungo mkubwa kati ya JK na Makamba.Mzee Mbega ndiye aliongoza hiyo ibada ya kafara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…