Heshima Mbele,naomba kuwaletea uteuzi mpya alioufanya Muungwana na atwaapisha leo..naomba muangalie majina ya hao watu na wasifu wao..
Jaji Amiri Ramadhan Manento---Mwenyekiti wa Tume
Mahfoudha Alley Hamid---Makamu wa mwenyekiti wa tume hiyo.
Joaquine De Mello -kamishna
Zahor Juma Khamis -kamishna
Bernadeta Gambishi-kamishna
Jaji Manento::---alistaafu nafasi ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Januari Mahfoudha Hamid:--aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (2001-2006)De Mello ni wakili wa kujitegemea,
Khamis ni mfanyabiashara
Gambishi ni Katibu wa Mkoa, Idara ya Huduma kwa Walimu Mkoa wa Shinyanga.
Kuna mwenye wasifu wa dada Joaquine De Melloisije kuwa muungwana analipa fadhila....
Kuna mwenye wasifu wa dada Joaquine De Melloisije kuwa muungwana analipa fadhila....
JOAQUINE DE MELLO AMETOKA KUMALIZIA TERM YAKE KAMA RAIS WA CHAMA CHA MAWAKILI TANGANYIKA(TANGANYIKA LAW SOCIETY)ITS INTERESTING TO KNOW KUWA WAO HUWA HAWAITAMBUI NCHI YA TANZANIA. JOAQUINE ALIKUWA NDIYE RAIS WA KWANZA MWANAMKE WA CHAMA CHA MAWAKILI TOKA KIANZISHWE MWAKA 1925. AMEKUWA PIA MWANACHAMA WA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) KWA MIAKA MINGI.
KWA KWELI NAAMINI AMEKWENDA KULE BY MERITS NA ANAKUBALIKA.
KWA WANAOMFAHAMU WATAKWAMBIA KUWA JOAQUINE NI MWANAMAMA MREMBO MNO ALIYEJALIWA. LABDA HILI NDILO LINALOLETA HISIA ZA KULIPA FADHILA ILA MIMI HILO SILIJUI.
Mie bado nina maswali mengi,Hivi hii tabia ya kurecicle viongozi itaisha lini??Jaji manento keshachoka kwanini wasipewe vijana wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo ..hawa wastaafu wanaenda kula pesa tu pale na siajwahi kusikia jambo lolote la maana ambalo wanafanya hawa watu wa haki za binadamu.Hawajawahi kukemea mambo ya msingi.Asante kwa ufanunuzi Mkuu binafsi sijui kabisa profile yake, zaidi ya kumwona alivyo mrembo wa kiafrica asilia...
Mie bado nina maswali mengi,Hivi hii tabia ya kurecicle viongozi itaisha lini??Jaji manento keshachoka kwanini wasipewe vijana wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo ..hawa wastaafu wanaenda kula pesa tu pale na siajwahi kusikia jambo lolote la maana ambalo wanafanya hawa watu wa haki za binadamu.Hawajawahi kukemea mambo ya msingi.
1.Mfano wa suala la kupigwa kwa Katibu wa CHADEMa huko Kiteto.walikaa kimya
2.kuhusu suala la kufungiwa kiana Maxenco Melo,hawakuliongelea mathalani linahusu utawal bora na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mie nadhani kuna haja ya taaisis nyingi za serikali kupunguzwa ili zibaki chache zenye watendaji walio na tija ni sio watu wa kufanya semina kila siku.CHRAGG wamekuwa watu wa kufanya semina tu na hakuna cha maan awanachofanya.
alafu kuna jambo between the underlines..kuliongelea hapa inabidi uwe na akili ya mwendawazimu.
kwanza hiyo tume ya haki za binaadamu sijawahi kusikia imefanya kazi wapi. (kama ishawahi naomba kufahamishwa).
pili kuchaguliwa wajumbe wa tume na Rais kunaikosesha credibility tume hiyo kwa sababu katika nchi nyingi hasa za Afrika haki za binaadamu zinavunjwa na serikali.
tatu; hatusemi kuwa viongozi watu wazima wasipewe wadhifa lakini pia tungependa kuona sura mpya ambazo zingekuja na mawazo mapya. hivi recycle za kila siku ndo unakuta nchi ina muono mdogo.
JOAQUINE DE MELLO AMETOKA KUMALIZIA TERM YAKE KAMA RAIS WA CHAMA CHA MAWAKILI TANGANYIKA(TANGANYIKA LAW SOCIETY)ITS INTERESTING TO KNOW KUWA WAO HUWA HAWAITAMBUI NCHI YA TANZANIA. JOAQUINE ALIKUWA NDIYE RAIS WA KWANZA MWANAMKE WA CHAMA CHA MAWAKILI TOKA KIANZISHWE MWAKA 1925. AMEKUWA PIA MWANACHAMA WA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) KWA MIAKA MINGI.
KWA KWELI NAAMINI AMEKWENDA KULE BY MERITS NA ANAKUBALIKA.
KWA WANAOMFAHAMU WATAKWAMBIA KUWA JOAQUINE NI MWANAMAMA MREMBO MNO ALIYEJALIWA. LABDA HILI NDILO LINALOLETA HISIA ZA KULIPA FADHILA ILA MIMI HILO SILIJUI.
Lobbyist according Rich Kasesela definition ;Joakina is one of the smartest Lobbist.
Aliowaapisha juzi ni kina nani?