Yeah.. nasikia anapanga kutembelea Airbus, ambako jidege letu jipya laja.. !
Huyo Muungwana mbona mwisho akisafili akiludi kumetumbuka jipu ,sasa akienda huko basi usishangae kukazuka habari zingine za mafisadi ,alafu ndo unamsikia akituondosha kwenye njia kwa kusema safu yake imetimia tusubibiri mikakati ya elufu mbili na kumi ,apo ndo ananiwacha hoi kabisa !!JK ni msanii bwana . Yaani mambo yake huwa kidogo lakini huzua maswali meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi .
Yeah.. nasikia anapanga kutembelea Airbus, ambako jidege letu jipya laja.. !
Mimi niko Greenland, namsubiri aje kututembelea na "kujitambulisha" kwetu pia; asiwe mbaguzi.
hivi india na pakistani anakwenda lini,je sisi wa urusi atakuja lini