Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kawenye kaburi la aliyekuwa Waziri mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Salum Juma Othman wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Unguja leo mchana. Marehemu Salum Othman aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama na Serikali zikiwemo uwaziri,ukuu wa mkoa, katibu mkuu wa UVCC na mjumbe katika tume za Jaji Warioba,Jaji Kisanga na Jaji Nyalali.Pembeni ni Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa SMZ Seif Shariff Hamad.