Elections 2010 JK apewe na Slaa uwaziri gani?

Napendekeza katika serikali ya slaa, jk awe mshereheshaji kwenye hafla za kitaifa
 
Kwa sababu kkazoea usanii, kwa serikali serious kama ya Dr. Slaa hawezi kufanya chochote! atafungwa bure.
katika serikali ya Dr. Slaa JK hawezi kuwa kiongozi katika nafasi yoyote sijui labda kama anaweza kujibadilisha lakini kwa huyu NO nO No

MTWA heshima mbele ! Uko sawa kabisa, kama alishindwa kuwajibika akiwa Rais hata weza kuwajibika akiwa waziri, huyu naona apumzike ale pension yake na fedha alizo chota kwa ukarabati feki wa ikulu. Aende akapunzike huko Bilila Kempiski Serengeti anayokazania lami ijengwe apate urahisi wa kufika.
 
mmmmh give me time to think,i don hav a real position to propose here maybe wakasaidiane na sheikh yahaya katika zile kazi zao
 
mmmmh give me time to think,i don hav a real position to propose here maybe wakasaidiane na sheikh yahaya katika zile kazi zao

hapo umeibua hoja nyingine hawa watu utendaji kazi.wao unafanana sana, wote ni watabiri. JK anatabiri kila mkoa utakuja kuwa na hospitali ya rufaa kwa kujaza maprofesa wa macho mifupa nk mpaka kule kwao chalinze. Mi naipenda sana fani yake hii!
 
Wadau, kama Dr. Slaa au chadema wanawaza ku-include mtu yeyote wa chichiem kwenye cabinet yake ninamwomba sana aache wazo hilo kabisa. Watanzania wapo wengi mno wanaoweza kuongoza na wanaotoka nje ya wigo wa mafisadi. Kuna anasema jk apewe sijui uwaziri wa nini sijui. Kwangu mimi, jk anafaa ajiendeshee NGO yake itakayokuwa inashughulika na umbaji wa misaada nchi za nje. Zipo kazi nyingi tu zinamfaa kama vile ujaji wa Miss Ilala, Kinondoni na Temeke. Anaweza pia akajaza nafasi ya Kaijage pale TFF.
 
Huyu jamaa hastahili ata kuwa diwani nasikitika kusema ya kua huyu jamaa yuko hatari kwani mafisadi waliomueka kwa manufaa yao baada ya kushidwa katika kunyang'anyiro cha urais wanaweza kumuondoa katika maisha ili siri za ufisadi zisivuje.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom