Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Ninapingana na kufanikiwa kwa Rais/Tanzania katika sera ya nje na siasa za kimataifa zaidi ya kusafiri. Ukilinganisha na miaka ya nyuma, hivi karibuni sijasikia Tanzania ikitoa msimamo katika matukioa muhimu ya kimataifa zaidi ya kauli-wakati mwingine zinazokinzana-kati ya waziri wa mambo ya nje na Rais (Mfano suala la Zimbabwe). Vile vile sidhani kama sera ya nje ya sasa inampa Rais mwanya wa kusafiri kwa sababu watekelezaji wake wakuu walitegemewa wawe mabalozi aliowateua. Labda kwa sababu diplomasia ya karne 21 imebadilika.
Hivi wenye PhD za uhusiano wa kimataifa Tanzania watakuwa JK na Baregu sasa? Mkuu mwenye kufahamu ninaomba anijuze.[/QUOTE
Mkuu,
Nimesema sisi kuwa na sera mbovu kunampa mwanya wa kuzurura ovyo coz hatuna guiding principle ktk foreign affairs policy.
Pia tukiwa na sera nzuri ambayo iko clear kwenye internatinal arena,basi waziri wa mambo ya nje na Rais(occasionaly) atapunguziwa mzigo wa kuuza sura na au masuala kadhaa yataonyesha msimamo wetu ulivyo.
Pia nadhani Augustine mahiga ,our UN permanent ambassador ana Phd ya International relations.
Kwanza kuna wakulu ambao nawaaminia sana kubeba hili jukumu la kuwa waziri wa mambo ya nje ambao wangeweza kuwa competent kuliko Membe,tuna watu kama akina huyu Mahiga,na pia ambassador Ombeni sefue.huyu mkulu namuaminia sana na angeweza fanya kitu radical ktk policy yetu ya mambo ya nje