Mwache azikusanye. But it does not change a thing. Kama hamnazo hamnazo tu!Mh! Kwahiyo itakuwa PHD ya pili. Maana hata sasa anaitwa DR.
Mwache azikusanye. But it does not change a thing. Kama hamnazo hamnazo tu!Mh! Kwahiyo itakuwa PHD ya pili. Maana hata sasa anaitwa DR.
Ndiyo yale yale ya kumpa Obama Nobel prize wakati anaescalate war! Nadhani wampe shahada hiyo na kumpongeza kwa kupambana na ufisadi, kusimamia matumizi ya serikali vizuri n.k
yale yaleeeeeeeee!CHUO Kikuu cha Fatih cha nchini Uturuki kinatarajiwa kumtunuku Rais Jakaya Kikwete, Shahada ya Uzamivu (PhD) ya heshima, imefahamika.
Hongera Sindbad kwa kupata PHD ya 2...
Hongera sana Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hiyo PhD. hakika unastahili.
Wazungu walisafiri kote duniani wakaleta maendeleo Europe. Tunashuhudia maendeleo makubwa hivi sasa ikiwa ni pamoja na ongezeko la waTZ wanaopata nafasi za masomo nje ya nchi.China, UK, United State, India ziko kibao, Belgium na sasa zingine lukuki huko Turkey haya yote ni matunda ya jitahada zako za kuimarisha uhusiano wa nchi yetu kimataifa. Laiti kama Maraisi waliokutangulia wangekuwa na muono kama wako tungekuwa mbali sana naamini hivyo.
Hatuna cha kujifungia nacho hapo TZ kwani kwa miaka 45 tumebaki masikini wa kutupwa dunia haiwezi kutusubili. Watu wamebaki wakimnukuu Nyerere hata kama wanajua na wanaambiwa na dunia mzima kuwa hakuna wazo lake lolote lililowahi kufanikiwa ila ni kuwadumaza watu wake tu kifikra na kimaendeleo. Wengine wanaendelea kusifia eti ukombozi wa bara la Afrika kwani nani angetaka kuitawala afrika au Tz hadi hivi sasa?. Kwa kweli kama hatutatoka nje kutafuta elimu na mitaji tukaendelea kubaki ndani tu eti tunatunza mali zetu hadi mungu atushushie hiyo elimu na uwezo, hakika wenye akili na uwezo na hiyo elimu watakuja kuifungua hiyo mipaka kwa maguvu na kuchukua kila kitu na hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia kwani hiyo mipaka hajaweka mungu ni wao ndiyo waliiweka.
Mheshimiwa ukimaliza ziara yako huko Uturuki unaweza kwenda kupumzika kidogo kule Jamaica ukijipongeza kwa hiyo PhD. usihofu sisi ni wazima kabisa huku nyumbani.
Kwa kweli ni wewe tu unayefaa kuiongoza TZ kwa sasa endelea mheshimiwa maana wengine wataturudisha kwa mwalimu JK Nyerere.
wewe kweli cha-MPUNGA...
Hivi anaweza kutunukiwa na Uprofesa?