Sinamatata
Member
- Jan 14, 2011
- 23
- 0
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
mkuu nimehangaika hapa kumtoa mdudu kwenye PC yangu kama 30 seconds hivi ndo nikagundua...... mwacheni mkuu akabadilishe damu, tatizo waTZ siku hizi mnachonga sana, oh "kaenda kubembea", "kaendea kushikana mkono na hasheem". makelele mengiii!!! sa hiv ni mwendo wa kimya kimya tu.. mtakuja kusikia baada ya miaka mitano kwamba mkuu ana toto la kivenezuela... hahaha!!! au siku moja mtapata picha yake yuko kwenye swimming pool na toto la kihindi la miaka 18.. mwendo wa kimya kimya tu..
Ajabu sana!! Hata miye niliposoma tu hii, haikuingia akilini kwamba akipita airport tu anakwenda majuu?? Vipi kama anakwenda Mtwara au Bukoba? Hawa eti ndiyo great thinkers wetu!! Mnatia aibu sana. Hata comments zenyewe ukisoma ni mipasho na umbea tu, hakuna mantiki yoyote.
mkuu nimehangaika hapa kumtoa mdudu kwenye PC yangu kama 30 seconds hivi ndo nikagundua...... mwacheni mkuu akabadilishe damu, tatizo waTZ siku hizi mnachonga sana, oh "kaenda kubembea", "kaendea kushikana mkono na hasheem". makelele mengiii!!! sa hiv ni mwendo wa kimya kimya tu.. mtakuja kusikia baada ya miaka mitano kwamba mkuu ana toto la kivenezuela... hahaha!!! au siku moja mtapata picha yake yuko kwenye swimming pool na toto la kihindi la miaka 18.. mwendo wa kimya kimya tu..
Siyo pumba ameongea mambo ya msingi sana lakini kwa kuwa wewe unaletanzania mambo ya ushabiki ndiyo....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
Mfa maji...
Heeh!!
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
Da kweli hii jama. Napata pressure
Ndugu yangu haya ni mawazo ngando!!!!
wadau tunaomba tujuzwe ameenda wapi huyu bwana?