yah! Man.yes class, iz evibadi ina di clas?
We gwan learn somting nu today!
..................................
...sd#$%fgdg^yty..
..................................
Whoz gat weed in here, me iz thursty!
:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:
Jah bless!
Hahahaha, tunaomba mno, kila kitu tunaombaomba tu
cha muhimu sasa naona tumwombe xi jinping atusaidie kuongoza mwaka mmoja tuone kama tunaweza kupiga hatua!
hivi kwanini asiende venezuela akatuombee waje mashori wakali wa kule aiseee......yaani utakuwa kafanya bonge la uwekezaji tutamkumbuka daima......Huyu jakaya anaumwa haki ya nani so bure... Anaweza akaomuomba hadi matonya
yah! Man.
Kweli tunaomba hata kwa hawa jamaa! Nchi hii ina mambo.
Ameshindwa kuwalipa waalimu wa hapa nchini hao wa kutoka Jamaica watafundisha bure? Tatizo sio kukosa walimu wa kufundisha hayo masomo tatizo ni huyo Kawambwa wake ameshindwa kuongoza wizara na bado anamg'ang'ania aendelee kuwa waziri!!! Kama anampenda sana basi ampe umeneja wa estate yake huko kwao Msoga kuliko kutuharibia nchi.
Huwezi kuwa na akili timamu ukaomba waalimu wa hisabati na sayansi kutoka Jamaica. Ninawajua watanzania kadhaa waliokuwa wanafundisha masomo hayo huko Jamaica wakahamia Canada; ukweli ni kuwa Jamaica haina wataalamu hao. Binafsi nimeshafundisha vijana wengi wa kutoka Jamaica ninajua vizuri background zao. Kwa hiyo nadhani mzee alikuwa anatania au akili ilikuwa imesimama kidogo kulingana na lililokuwa machoni mwake wakati huo.
Nitakachosikitika ni pale hao Mwl toka Jamaica atakuwa analipwa mara 4 ya huyu wa Tz ingawa huyu atakuwa nafanya kazi nzuri kuliko huyo mgeni. Yangu macho.
raha kweli kuwa na rais wa hivi..yeye anaropoka tu yaani akiona mtu ana ngozi nyeupe anajua huyu mzungu ngoja tuombe kiu tusaidiwe....walimu wote hawa unaenda kuomba walimu nje....,!au walimu wz reggae.?
Hivi kwani katika hizi Protocol ukiwa Rais\kiongzi wa nchi huruhusiwi kukaa kimya kama huna cha maana cha kumwambia fellow national leader?