Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
Hii ni aibu isiyostirika wala kumithilika. Miaka 50 plus baada ya kupata uhuru bado unchi kama nchi imeshindwa kuzalisha walimu wa kutosha kwa ajili ya kufundisha kwenye shule zake? Ni Rais huyuhuyu mwaka 2010 alisema kuwa kufikia 2012 uhaba wa walimu nchini utakuwa historia, leo hii ameenda kuomba Jamaica? Tutafikia mahala tutaanza kuomba hata wanaume kuwatimizia wake zetu
Si kweli. Tanzania walimu wako wengi tu ila hawataki kufanya kazi na serikali kutokana na ukata wanaopata pindi wanapokuwa kwenye shule walizopangiwa. Huko utakuta mwalimu darasani haingii na kama akiingia basi atafanya vioja tu ili mradi watoto washindwe kumwelewa ili waende tuition kwake. Kwa Tanzania, hata kama serikali ingereform mfumo mzima wa elimu hakuna cha maana kitakachopatikana. People are lazy na wamezoea njia za mkato kwa kila kitu wakifanyacho.