JK angani tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK angani tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ground Zero, Jan 24, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia JK amerejea angani safari hii akiwa anaenda Davos. Kuna mtu ana details za hii safari?
   
 2. Ballot

  Ballot Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  subuutu!hakuna hela vile vihela walivyokopa kwa wachina kwisha!naongelea exprience nipo hazina
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna World Economic Forum Annual Meeting 2012
  Sijui Huku JK anafata nini!
  Wameshasema agenda kuu ni Eurozone crisis (Greece, Spain, Portugal, Italy etc).
  Kila mwaka anaenda. Anarudi yuleyule.
  Ni kama sisi tunavoshobokea semina mikoani tukaongeze vipato na maisha magumu haya.
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hataki kushughulikia madaktari? Ajabu kweli katibu mkuu kashindwa, waziri kachemsha, waziri mkuu katuma mtu, jamaa kaona maji ya shingo what next wakati jamaa anakata mawingu?
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Rahisi JKM. Rahisi wa vi la za TZ.
   
 6. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuwa charged na (maiti)misiba kadhaa iliikumba nchi hatimaye majini yamruhusu jamaa kuvuka mipaka
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mmmmmhh!

  Kazi kweli kweli ipo!
   
 8. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namshanga jk.davos haitaongelea afrika.ni crisis ya uchumi duniani inayoonekana kuletwa na nchi za ulaya hasa ulaya mashariki kama greece n.k.,afrika haina nafasi lakini JK anapata nafasi.je yeye ni rais wa wapi?anaenda kujipendekeza tu as usual na kuacha nyuma mgomo wa madaktari ukipamba moto.akirudi atakuta nyumba imeungua!
   
 9. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Jamani, pia kuna swala la kucheki 'afya' si mnajua tena bandugu.
   
 10. M

  Msuruhishi Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Joking, aren't you? Tangu lini mkuu wa nchi akakosa 'budget' ya shughuli zake? Si heri mfe nyote kwanza?
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  ajiendee tu, tumechoka na hivi vitimbi vya kusaini muswada wa sheria kwa mbwembwe halafu anaurudisha tena bungeni,
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ashaondoka?
   
 13. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Aaa hizo za kwao za kupasua anga huwa hazikosekani. Kasheshe ni hizi za madaktari na wafanyakazi wengine, wanadai hadi jasho linatoka kwenye meno.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  Hivi hata akienda anaenda kufanya nini? kuomba omba?
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Michuzi kashafika

  atatuwakilisha
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  ?michuzi blog??
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  akienda taabu.................... asipoenda taabu................... hivi watu tukoje???................ nilidhani mtamsifia kuwa afadhali safari hii hajaenda!!.....................
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  wewe unataka aende au asiende
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mikutano ya namna hiyo jamaa huitumia kutembeza Bakuli...... Angeenda tu
   
 20. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Nimesikia leo kwny News kwamba kale kandege kake kako juu ya mawe kwa miezi miwili sasa! kako nje ya nchi kwa matengenezo, ndo maana ametulia kwa muda sasa!:poa
   
Loading...