JK angani tena

JK angani tena

Vasco ameanza ku explore. akianza hivi kusitisha itakuwa ngumu!
 
Mbona mtoa mada kauliza kama kweli na nyie mnaconclude sasa ikiwa sio kweli je?
 
Nataka kujua tokea uchaguzi Igunga kwisha JK kasafiri mara ngapi?,au ndo tushafilisika?,chadema nao vp maandamano?
 
subuutu!hakuna hela vile vihela walivyokopa kwa wachina kwisha!naongelea exprience nipo hazina
Sasa mkuu kama hakuna hela mwezi huu tutapata mishahara kweli au tuendelee na mgomo wetu mbele kwa mbel mkuu.
 
Waliomchagua huyu bwana Jk na CCM kweli wametuweza na kutukomesha watanzania,maisha yamekuwa magumu sana kila siku.
 
He deserves dat. Long time hajasafiri almost 2 months.
 
Kuna World Economic Forum Annual Meeting 2012
Sijui Huku JK anafata nini!
Wameshasema agenda kuu ni Eurozone crisis (Greece, Spain, Portugal, Italy etc).
Kila mwaka anaenda. Anarudi yuleyule.
Ni kama sisi tunavoshobokea semina mikoani tukaongeze vipato na maisha magumu haya.

Probably Tanzania is part of Eurozone....maana hizi safari inawezekana zimeshatuunganisha na nchi za mashariki ya mbali badala ya East Africa.
 
Hela za safari zinapatikana tokea wapi? Maana shughuli za maendeleo nyingi zimedoda tunaambiwa hakuna hela. Au nazo tumekopa benki?
 
madaktari wagoma,ulitegemea akatibiwe wapi?safari yake moja unaweza kulipa posho ya madaktari wangapi vile?
 
Huyo ndie Rais wetu madaktari wamegoma yeye anadharau na kuondoka ..........hivi wanadhani hilo la mgomo wa madaktari ni dogo kwanini Rais anapenda safari zisizo na tija?
 
Back
Top Bottom