Elections 2010 JK anaumwa ahadism?

Miaka 5 yake ya mwisho, akimaliza atakuja mwana CCM mwengine nae atatoa
ahadi kwa miaka mingine 5. Who Cares!!!!
 
Mungu aingilie kati mara ngapi, Katupa uwezo wa kufikiri, kuona na kutambua, katupa macho na mikono, ss tunajipigia tu kura. tufikiri kwa kina na kufanya mabadiliko
 
JK ana magonjwa mengi. Pamoja na hayo yanayomfanya azimike, kuna ugonjwa huu wa "AHADIsm". Ndani ya wiki moja ya Kampeini ametoa ahadi mpya zisizokuwa katika Ilani ya CCM kama ifuatavyo:

-Kununua boti za kisasa Ziwa Victoria kupambana na majangiri ziwani
-Kununua Meli mpya ya kufidia MV Bukoba
-Kujenga Uwanja mpya wa ndege wa Kimataifa Kajunguti-Kyaka (Wa
Mbeya haujaisha!)
-Kuleta umeme mwingine wa Uganda kwa dola bilioni 1.6 kwa ajili ya
wilaya ya Misenyi
-Kupanua Uwanja wa ndege wa Bukoba ili upokee ndege kubwa
-Kuwaruhusu wananchi wa Misenyi waendelee kukaa katika Ranchi
aliyoiuza yeye mwenyewe kwa wawekezaji!

Huu ni mkoa mmoja. Mpaka tumalize mikoa 5, tutakuwa na kitabu cha ahadi. Zile zilizomo ndani ya Ilani hajazigusa. Ofisa mmoja aliye na JK kwenye msafara amenidokeza kuwa akianza kuhutubia wanashika mapu... kwa hofu ya kusikia ahadi mpya ambazo hazijazungumziwa popote.

Kumnyima JK ni uzalendo.

MNYIME KURA JK ULIOKOE TAIFA NA UGONJWA WA AHADIsm.
hahahahaha
hahahahaha
nimecheka sana hapo kwenye bold
 
Inabidi hizi ahadi zote ziandikwe somewhere halafu kuelekea mwisho mwisho wa kampeni aulizwe vitu alivyoahidi na jinsi atakavyotekeleza hizo ahadi

Ndiyo sababu hataki mdahalo maana atashindwa kujieleza, mkwere kazoea siasa za jukwaani tu kupiga domo. Hivi kama alishindwa kutekeleza ahadi zake za 2005 na halafu asione aibu this time kuendelea kuahidi, hivi huyo kweli ni presidential material. Nafikiri Bongo tuna tatizo la political and management incompetance ndiyo maana akina JK wanaonekana ndiyo wenye uwezo wa kipeleka nchi kwenye asali na maziwa.

Oh God, jamaa hana hata aibu ya kuendelea kutoa ahadi za uongo. No wonder anaanguka kwa sababu ya kutudanganya.
 
kwani anaulizwaga maswali yule mkwere, unajua Kikwete ni msahahulifu sana, akitoka hapo hana moja. kuna ahadi aliahidi mwaka 2005 anaenda kule anaahidi tena, jamaa hapa mwanza walimtizama kwa vicheko, watafanyaje sasa ....
 
hahahahaha
hahahahaha
nimecheka sana hapo kwenye bold
JK aahidi vyandarua viwili kwa kila nyumba,
Ambulance (bajaj), 400 za kupeleka wanawake hospitalini wakiwa wanakaribia kujifungua
Kuongeza sijui bei ya viazi sijui kitu gani kwa wakulima.




Tendwa anatakiwe amchunguze just for "overAHIDIING"
Hivi hio hela itatoka wapi, alafu bajaj ilivyo rough ride mtoto anaweza akadeliver njiani. :playball:
 
Back
Top Bottom