JK anasa Marekani!!

Yaaani suala ya yeye kujifanya kakwamba USA nalo linahitaji maombi? Alternatives za kuja Bongo toka USA ziko nyingi mno, anweza kupita Dubai, au Rio De Jeneairo (tena pale anaweza kukutana na wanyabiashara Watazania waliokwenda kuchukua mzigo).

Hahaha! taratibu Masaki unashauri mjomba apitie Rio na kurudi na mzigo tuzidi kupumbaa?
 


ajiunge na mwenzake huyu....hahahaha! Sasa sijui kama ikulu nao wanaweza kutumia ipad! Kazi kweli kweli!
 
mwacheni aenjoy........kafait sana kupata nafasi aliyonayo.............................
maisha bora kwa kila mtz......
 

Matendo yake ndiyo yanatufanya tumuone hivyo. Kuna mtu alisema- rais wa kuchekacheka wakamshtaki!
 
This is one lame excuse,flights from the US to Africa have not been affected and he can also come via Rio/j.bourg.Maybe those designer suits have to be picked up from Europe and you all know how we value our looks.
Diana,
Nakubaliana na wewe. Hata ndege za Gulf New York sijasikia kuwa zimesitishwa. Rafiki yangu mmoja kawasili jana usiku kutoka Dar akisafiri na ndege ya Emirates. There must be another reason.
 
Kodi za wavuja jasho hazimuumi ndo maana safari za marekani ni nyingi zaidi ya kufikiria! afadhali akae hukokuku tujue kuna mtu tunamhudumia then atakuwa anafanya kazi online. mbona sijawahi kusikia ametembelea Haiti au bangladesh? Au chile? kwa wanaojua watwambie hii ni safari yake ya ngapi US? alikuwa anafaa kuendelea kuwa waziri wa mabo ya nje na si rais.
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?

Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!

hata kama hatutaki!! LOL!
 
Jamani tumwombee Rais arudi salama, haya tunayoyandika hapa yatekelezwe kwa vitendo kwa kura ifikapo October mwaka huu, nafasi ipo.
 
I want to know what the critics would have done instead of just being there.. If there is a pressing matter the President would undoubtedly be contacted, he has a satellite phone at all times and Ikulu yuko CS sasa sijui mnataka nini..au mlitaka apande ndege tuu kibishi ili iwe kama Poland sio? Lets criticize but it is very important to maintain an element of objectivity, haya mambo yaki Jacobin inabidi tuachage watanzania.. We need to stay focused on the big picture, and for the record I am not a big fan of JK and many of his failed policies and lack of policies in certain areas.. He was chosen kwajili ya sura... sasa muacheni auze sura.. msiongee sana.. I maintain this is nonsense.
 
hahaaa uwiiii sin mbavu mie lol kweli akufukuzae hakwambii toka na akutukanae hakuchagulii tusi na nimeamini kuwa ukubwa ni jalala maana hahaaaa, kweli wabongo wakikasirika wanaweza kukuua kwa maneno lol!
 
Brad Pitt grounded by volcano's impact

Posted: 04:04 PM ET
testing captions

Add Brad Pitt to the list of celebrities grounded from appearances due to the volcano.
The actor was scheduled to appear this evening in New York at a tribute dinner, sponsored by the government of Tanzania, in honor of his brother Doug Pitt's humanitarian work.
But Brad Pitt was traveling from Europe - or trying to. His plane has been grounded, like thousands of others, thanks to the power of the volcano beneath Iceland's Eyjafjallajokull glacier.
Doug Pitt, a professional photojournalist, is a director of Africa 6000 International, which has been active in supplying fresh water to those in need, according to its Web site.
Tanzanian President Jakaya Kikwete is scheduled to honor Doug Pitt.
 
Hivi nyie watu ni nani aliwaambia kuwa amekwama US? Acheni hayo. Yaani mwaniudhi kumnyanyasa Rais ambaye nilimpigia kura 2005 na nitampigia tena 2010. Ninajua kazi nzuri anayoifanyia TZ. Nyie mliekimbia nchi na machungu mafrustrations yenu kibao. You are all failures in life. Waoga wakubwa nyie.
 
kwanza anaombea kije kimbunga kabisa na simu zisiweze kushika ili akae huko huko mpaka wakati wa uchaguzi...pili hata akiwepo hakuna analofanya zaidi ya kufanya mapati na michiriku ikulu kusaini sheria bila kusoma..tatu,akiendelea kukaaa huko ni afadhali maaan ananipunguzia hasira za kumchukia maana maisha bora kwa kila mtanzania hamna kitu...nne atapenda afanye e-gorvenance ili naye aonekane wamo..mtamtaka mtoto wa kikwere,,na hivi daktari wake alisema kapimwa akili na damu yuko timamu na ukimwi hana ..aluuuuuuuuu
 
mawazo yako yanafanana na jina lako...
 

kani huyu akifa kuna madhara gani kama taifa mi naona sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…