Kweli wewe M7
imetoka bumbuli.......na amesema wanabumbuli wanaidai wilaya yao
ndivyo ilivyo kwani hujui kwamba makamba ni lowasa camp. Kwa taarifa kuna camp tatu tu sasahivi losters camp inayoongozwa na samweli siti akisaidiana na mwakembe, agenda 2015 ,inayoongozwa na lowasa. Muslim camp inayoongozwa na kiwete. Hiyo moja hawana malengo yoyote wamekwishapoteza dira na mwelekeo na wamesambaratika ila wako tayari kujiunga na agenda 2015 kwaajili tu yakulipiza kisash au kutokukubaliana na sera za hiyo camp nyingine, agenda 2015 ndio wamejipaga wana malengo dira na wako tayari kwa gharama yoyote kufikia malengo yao. Muslim camp wao ushabiki ni mwingi na wanamalengo lakini hawako tayari kuwekeza kwaajili ya kufikia malengo yao wanategemea nguvu ambayo itaisha baada ya muda usio mrefu kwani kama kuna aliyetayari kuwekeza kwenye camp hii yuko tayari kuwekeza kwa 20% ya kile alichonacho binafsi ilihali agenda 2015 kama nilivyoeleza kwanza sio mtu binafsi na wana nguvu kiuchumi na wako tayari kuwekeza kwa 100% ya vile walivyonavyo ili kufikia malengo yao na kwa kiasi kikubwa wamekwishaanza kuwekeza ukilinganisha na muslim camp ambao mtaji wao mkubwa ni majunguyaani hata January anamtunishia msuli Kikwete??Labda miye sielewi hapa
huyu si yule yule mlikua mnamsifia kila siku humu?
Hapa naomba nitofautiane na wewe, hii tabia ya kumfikiria kila mtu katumwa na usiyempenda si nzuri, tuwe na utaratibu wa kuvumiliana. January hata kama ni mchafu vipi tunapaswa kuona na kutafakari uelekeo wa mambo anayoibua, maadam ameamua kuwaumbua Viongozi wenzake ndani ya Chama na kwenye Serikali-tupime na tutumie hoja zake kwa maslahi ya Taifa kwa kadri inavyowezekana. Kuna ubaya gani January kuonesha udhaifu wa Serikali? Amekosea nini kusema kwamba baadhi ya Wajumbe wa kamati ya nishati na madini wamehongwa? Au anabezwa kwa kuwa si mpinzani? Tuifikirie Nchi yetu jamani! Waswahili wanasema "Vita vya panzi, furaha ya kunguru" hebu wale wenzangu tunaoamini katika Taifa kwanza, tuchukue nafasi ya Kunguru.January ni msaliti mkubwa na anatumwa na rachel kuvuruga nchi , msimwamini kabisa hata unapomuangalia anaonyesha hivyo. Kwa vile anatumwa na mafisadi naye ni fisadi, siri zake tunazo. Atuachie nchi yetu tulio wazalendo. Jm ulichofanya kule bumbuli si unafahamu mwenyewe. Mungu atakuhukumu usifikiri watz hawajui. Endelea lakini umma unakujua
January ni msaliti mkubwa na anatumwa na rachel kuvuruga nchi , msimwamini kabisa hata unapomuangalia anaonyesha hivyo. Kwa vile anatumwa na mafisadi naye ni fisadi, siri zake tunazo. Atuachie nchi yetu tulio wazalendo. Jm ulichofanya kule bumbuli si unafahamu mwenyewe. Mungu atakuhukumu usifikiri watz hawajui. Endelea lakini umma unakujua
Mie nashauri watu tuwe objective. Tusiwatusi watu. Na wewe FISADI-ORIGINAL kwa kuwa hutoki kwenye magazeti ndio unamvaa dada wa watu? amekukosea nini? Kazi yake ndio inapa fursa hiyo, kama humpendi usituwekee hapa. Au kama unaweza, kamtoe kwenye kazi ile ukae wewe; au otherwise jitokeze kwenye media. Sidhani kama jukwaa hili ni la kupokea chuki binafsi za wachangiaji kama wewe. Kama huna mchango kaa kimya; sio unatuwekea mi post tu humu; au ndio unataka kuongeza posts?familia ya makamba imeoza. hawajui wanavyochukiwa hasa lile lidada lao la vodacom, kila siku kwenye magazeti
Changu kimoja ulichoelewa ukijadili kama ni heading au content yake.NAUNGANA NA WENZANGU HAPO
Kichwa cha habari na contents vimepishana mno. East and West.
Namshauri muanzilishi akajifunze kutoka other threads, sio tu kutuwekea vitu songombingo.
Hapa hakijadiliwi chama watu kama nyie wenye akili za magnetic flux mnafuata tu direction ya sumaku bila kufikiri.kama Jk hawezi kuongoza basi nyinyi Chadema Mnaupungufu fulani. kwanini hampeleki Ikulu DK slaa ili akalie yeye pale? au hamuutaki urais?
Ina maana mtaji wa waislamu ni majungu?ndivyo ilivyo kwani hujui kwamba makamba ni lowasa camp. Kwa taarifa kuna camp tatu tu sasahivi losters camp inayoongozwa na samweli siti akisaidiana na mwakembe, agenda 2015 ,inayoongozwa na lowasa. Muslim camp inayoongozwa na kiwete. Hiyo moja hawana malengo yoyote wamekwishapoteza dira na mwelekeo na wamesambaratika ila wako tayari kujiunga na agenda 2015 kwaajili tu yakulipiza kisash au kutokukubaliana na sera za hiyo camp nyingine, agenda 2015 ndio wamejipaga wana malengo dira na wako tayari kwa gharama yoyote kufikia malengo yao. Muslim camp wao ushabiki ni mwingi na wanamalengo lakini hawako tayari kuwekeza kwaajili ya kufikia malengo yao wanategemea nguvu ambayo itaisha baada ya muda usio mrefu kwani kama kuna aliyetayari kuwekeza kwenye camp hii yuko tayari kuwekeza kwa 20% ya kile alichonacho binafsi ilihali agenda 2015 kama nilivyoeleza kwanza sio mtu binafsi na wana nguvu kiuchumi na wako tayari kuwekeza kwa 100% ya vile walivyonavyo ili kufikia malengo yao na kwa kiasi kikubwa wamekwishaanza kuwekeza ukilinganisha na muslim camp ambao mtaji wao mkubwa ni majungu
ndivyo ilivyo kwani hujui kwamba makamba ni lowasa camp. Kwa taarifa kuna camp tatu tu sasahivi losters camp inayoongozwa na samweli siti akisaidiana na mwakembe, agenda 2015 ,inayoongozwa na lowasa. Muslim camp inayoongozwa na kiwete. Hiyo moja hawana malengo yoyote wamekwishapoteza dira na mwelekeo na wamesambaratika ila wako tayari kujiunga na agenda 2015 kwaajili tu yakulipiza kisash au kutokukubaliana na sera za hiyo camp nyingine, agenda 2015 ndio wamejipaga wana malengo dira na wako tayari kwa gharama yoyote kufikia malengo yao. Muslim camp wao ushabiki ni mwingi na wanamalengo lakini hawako tayari kuwekeza kwaajili ya kufikia malengo yao wanategemea nguvu ambayo itaisha baada ya muda usio mrefu kwani kama kuna aliyetayari kuwekeza kwenye camp hii yuko tayari kuwekeza kwa 20% ya kile alichonacho binafsi ilihali agenda 2015 kama nilivyoeleza kwanza sio mtu binafsi na wana nguvu kiuchumi na wako tayari kuwekeza kwa 100% ya vile walivyonavyo ili kufikia malengo yao na kwa kiasi kikubwa wamekwishaanza kuwekeza ukilinganisha na muslim camp ambao mtaji wao mkubwa ni majungu
Ni kweli tuwe na tabia ya kuvumiliana lakini mbona wewe hujavumilia mawazo ya mwenzako?Hapa naomba nitofautiane na wewe, hii tabia ya kumfikiria kila mtu katumwa na usiyempenda si nzuri, tuwe na utaratibu wa kuvumiliana. January hata kama ni mchafu vipi tunapaswa kuona na kutafakari uelekeo wa mambo anayoibua, maadam ameamua kuwaumbua Viongozi wenzake ndani ya Chama na kwenye Serikali-tupime na tutumie hoja zake kwa maslahi ya Taifa kwa kadri inavyowezekana. Kuna ubaya gani January kuonesha udhaifu wa Serikali? Amekosea nini kusema kwamba baadhi ya Wajumbe wa kamati ya nishati na madini wamehongwa? Au anabezwa kwa kuwa si mpinzani? Tuifikirie Nchi yetu jamani! Waswahili wanasema "Vita vya panzi, furaha ya kunguru" hebu wale wenzangu tunaoamini katika Taifa kwanza, tuchukue nafasi ya Kunguru.
Unakemea udini wakati huo huo unapanda mbegu za udini utathibitishaje wakati wa Mwinyi na Kikwete walituhumiwa kuwa wadini na wakati wa Mkapa hakutuhumiwa. Ukiwa unakemea vitu kama hivi lazima uwe neutral sivyo kama wewe unavyotaka kukemea huku ukilaum upande mwingine.Inasikitisha saana kuona watu wanaleta masuala ya UDINI humu. Hivi people cannot argue points without kuleta habari za UDINI???? UNINI ni chuki. Kusema mtaji wa Muslim Camp ni majungu kuna maanisha kwamba kuna camps tayari, na hizo camps ziko katika misingi ya dini. Let us be very careful na claims hizo, zitakuja kupigwa watu wachanganyikiwe. People will lose lives and wealth. Msipendelee hizo fyoko fyoko za udini. Ila nimebaini jambo moja kuhusu udini. Alipokuwa Mwinyi Rais, alituhumiwa kuwa MDINI; mkapa hakutuhumiwa. Kikwete anatuhumiwa; hizi ni siasa chafu; akikaa kiongozi asiekuwa Mkatoliki lazima atuhumiwe. Let us be objective and focused. Tuwe watanzania kwanza. Hizo dini kwanza zimeletwe na Watu wa Mashariki ya Kati.
Ila kama kuna hoja za nguvu zenye mashiko ziwekwe, sio vineno ambavyo ukuvipima, ni sawa na muuza karanga wa ubungo.
Unakemea udini wakati huo huo unapanda mbegu za udini utathibitishaje wakati wa Mwinyi na Kikwete walituhumiwa kuwa wadini na wakati wa Mkapa hakutuhumiwa. Ukiwa unakemea vitu kama hivi lazima uwe neutral sivyo kama wewe unavyotaka kukemea huku ukilaum upande mwingine.
Changu kimoja ulichoelewa ukijadili kama ni heading au content yake.