JK, ametuhamisha kwenye mambo ya msingi

JK, ametuhamisha kwenye mambo ya msingi

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Wa TZ turivyo wepesi kusikia, kushabikia, na niwepesi kusahau, tumesahau mambo ya msingi kama, Gesi, katiba, uonevu manyanyaso tunayo yapata kutoka kwa Polis na NK., sasa tunashabikia uhasama wa KGM na JK, utafikili nasisi tutabeba siraha kupigana
 
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana..
hamujui kiswahili mnalazimisha,.

siku nyingne usisema TURIVYO sema TULIVYO,na pia usiseme MUSINGI sema MSINGI..
 
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana..
hamujui kiswahili mnalazimisha,.

siku nyingne usisema TURIVYO sema TULIVYO,na pia usiseme MUSINGI sema MSINGI..

Kwenye ID yake mshauri asiandike MAPOLOMOKO aandike MAPOROMOKO. I hate them.
 
Wa TZ turivyo wepesi kusikia, kushabikia, na niwepesi kusahau, tumesahau mambo ya msingi kama, Gesi, katiba, uonevu manyanyaso tunayo yapata kutoka kwa Polis na NK., sasa tunashabikia uhasama wa KGM na JK, utafikili nasisi tutabeba siraha kupigana
Wewe wa wapi sema wewe ndiye unashabikia hilo swala usiwalishe watu maneno yako,Hakuna mtu anayeshabikia swala la kagame labda wewe na slaa tu.
 
Warwanda akili yao kama ya rais wao kagame wanapata tabu kujikosha kweli.
 
Love everybody, trust no body. If you can not convince them, confuse them. If you can not teach them, cheat them.
 
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana.. hamujui kiswahili mnalazimisha,. siku nyingne usisema TURIVYO sema TULIVYO,na pia usiseme MUSINGI sema MSINGI..

Hahaa, ila kweli jinsi alivyoandika ni typical watu wa kule Kigali, penye 'el' wanaweka 'arr'. Umemwotea huyu lazima atakuwa ana asili ya kule hata kama anaishi TZ kwa sasa. Lakini Nawewe kaka usiseme HAMUJUI, sema HAMJUI!!Kiswahili ni lugha inayohitaji utulivu wa nafsi!!
 
ani ninavyoandika hiyo hamujui nilikua nawaza yeye angeandikaje kwa bahati mbaya nami nkaandka hivohivo
 
Wanahangaika humu Jf kutupotezea focus na tumewashitukia mrudi kwenu ili mkauwane vizuri nyie si mnajiona bora kuliko wengine tokeniiiiiiiiii.
 
Heeeeeeeheeeeeee,
kiswahili kweli kigumu,
Mkuu sio Hivohivo, ni hivyo hivyo,

hyo naijua mkuu ila kurahsisha maandsh haswa nikiwa nawasiliana na mTZ mwenzangu huwa kuna herufi zisizo za lazima(zisizo futa maana) siziweki..
 
Mlizoea kufanya mtakayo kama mko kwenu sasa nendeni huko mkabanane na dikteta wenu.
 
[SIZE=4 said:
Mapolomoko[/SIZE];7067812]Wa TZ turivyo wepesi kusikia, kushabikia, na niwepesi kusahau, tumesahau mambo ya msingi kama, Gesi, katiba, uonevu manyanyaso tunayo yapata kutoka kwa Polis na NK., sasa tunashabikia uhasama wa KGM na JK, utafikili nasisi tutabeba siraha kupigana

Maporomoko
Tulivyo
Utafikiri
Silaha.

Tuhakikishie kuwa wewe ni m-Tanzania na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa.
 
MKAPA alimushindwa URIMWENGU sembuse MKWELE kwa mimi, usiniradhi mishe kuandika MAPOROMOKO ninaandika kinyumbani wasukuma hatuna "r", na ujuekuwa kiswahili kinakua, ila kisukuma hakihitaji maneno ya nyongeza, mf. mwanza, inatamukwa mhw'anza
 
Warwanda akili yao kama ya rais wao kagame wanapata tabu kujikosha kweli.

Uncle Deo unachosema ni kweli kabisa. Kiongozi wa nchi akiwa mdhaifu kuna namna fulani anawaathiri na wale anaowaongoza kuwa wadhaifu. Warwanda akili yao imekuwa kama ya rais wao Kagame na sisi Wabongo akili yetu imekuwa kama ya rais wetu JK. Wabongo wengi sasa hivi tunaiona dunia (worldview) kama mhe Rais wetu anavyoiona - maisha ya kimipashomipasho (taarabu), kufikiria kwamba maendeleo yanakuja kwa kuombaomba (tunaona wafadhili kama miungu), kujiona sisi ndio waungwana na wengine wote ni washenzi wakati vichwa vyetu ni Nazi tupu; kutaka kusifiwa kuwa tumevaa suti wakati tuko uchi!!! Ushahidi (evidence) ni hapa hapa JF. JF inatosha kabisa kumpa mtafiti worldview ya Wabongo.
 
Yani nimeamini kwamba pk ni star katika dunia nzima,yani watu pande zote kagame,kagame,watusi,watusi,he! na mwaka huu watanzania mtajifunza historia ya rwanda na watusi,kwani naona research kibao kuhusu wanyarwanda,kingine mnamcheka mtanzania mwenzenu eti hajui kiswahili je watanzania wote wanakijua?
 
Back
Top Bottom