JK amekaa nchini miaka 4 ndani ya miaka 6 ya uongozi wake

Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya mahesabu ya wastani wa siku 2 kila safari moja utapata siku 634 ambazo ni takribani miaka miwili.Ukifanya wastani wa Tsh 200,000,000 Tsh kama gharama kwa kila safari utapata 124,800,000,000/- .Tsh
Mungu Ibariki Tanzania
kwenye red...pamoja na watu wake.
 
Ufisadi tu hapa. Ivi tuombeni cost ya safari za rais. Hawa wabunge members wapo wapi? Si watulete data? Au ni wabunge hewa tu?
 
Back
Top Bottom